Leo katika uchokozi: SIKU ya UKIMWI duniani kwani sio ya KIZUSHI kama siku ya WASENGE duniani?
>> Wednesday, December 01, 2010
Wakati labda kila tarehe,...
....ni UJANJA siku hizi kuzitafutia sababu zisiwe ni siku za MAALIBINO DUNIANI kama vile kuna siku haziwahusu MAALIBINO duniani,......:-(
Swali la kichokozi:
- Hivi kuna siku sio ya UKIMWI duniani?
Na wakati tunakumbuka mpaka MWEZI wa HISTORIA ya watu weusi aka BLACK HISTORY MONTH,....
Haya MHESHIMIWA ambaye leo kwako hii sio siku ya WANAWAKE DUNIANI kwa kuwa haiitwi ya WANAWAKE,...
....mie najiwazia tu hapa MWAYEGO.:-(
Au hebu chezea sikio kwa kitu kwa kibao-Seasons of LOVE
Au tu turudie kuchezea sikio kwa ndude ``HII KITU´´ ambayo ikichezewa ovyoovyo pekupeku inaweza kuchangia mdudu kama ishushwavyona -Ras Lion na Joni Woka
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment