Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tatizo KUBWA,....

>> Wednesday, December 22, 2010

......labda ni kutostukia TATIZO!:-(


Swali:
  • SI tatizo bado lipo hata kama bado HALIJASTUKIWA?



Na labda ni afadhali KUISHI na tatizo,....
.....huku ukijua ni TATIZO!:-(



NI HILO TU MHESHIMIWA!
Na ni wazo tu hili MKUU!:-(

Hebu tena Peter Tosh aulize tena -Where U gonna run?


5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Unknown 3:47 pm  
This comment has been removed by the author.
Unknown 3:48 pm  

Na ndipo hapo tunapoamua kuishi na tatizo ati tu kwa kuogopa ukweli kwamba hilo ni tatizo...! NA KILIO kikakuumbua! Kwasababu ni tatizo, na tatizo limejifungua! Ndio maana limeitwa tatizo!

Albert Kissima 4:04 pm  

Jambo si tatizo hadi pale litakapogundulika kuwa ni tatizo kwa kusababisha/kuleta tatizo.:-)

Simon Kitururu 5:14 pm  

@Mkuu Mrope:Ndio hapoooo!
@Albert: Kwa hiyo kwa mtazamo huo basi labda kunayadhaniwayo ni TATIZO ambayo bado hatujastukia tu kuwa sio tatizo!:-(

emu-three 8:14 am  

Tatizo ni pale litakpokusibu, na huenda kwa mwenzako akilalamika unaweza ukamcheka, kwani hujui nini `maumivu yake'
Ndio maana wahenga wanasema `aisifuye mvua imemnyea'

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP