Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tafsiri ya KITU!

>> Thursday, December 30, 2010


Tukumbuke tu,....
.... karibu kila KITU kina tafsiri nyingi,....
..... ingawa moja ya TAFSIRI ambayo  maarufu KWA KAWAIDA hugeuzwa ndio UKWELI na watu!:-(


Na tukumbuke tu,....
..... umaarufu wa MTAZAMO  au tafsiri ya mengi,.....
.... sio ushahidi wa USAHIHI wa jambo kimtazamo hasa kama wahusika WATAFSIRIO JAMBO ni binadamu ambao wanamadhaifu ya KIBINADAMU kwa kuwa ni watu!:-(

Swali:
  • SI inajulikana KUTAFSI KITU hutegemea sana atafsiriye anajua nini kabla ya kutafsiri jambo?
Tafsiri!
Labda cheki wanaotafsiri MAMBO tofauti na weye,....
....kama nia ni kuendelea kujifunza kutoka katika TAFSIRI ZAKO ZA MAMBO ambazo ni misingi ya misimamo yako.

NI wazo tu HILI Mheshimiwa!





Hebu Robert Cray aingilie kati kwa -All Your Lovin 




Robert Cray aendelee na -Nothin' but a woman




Au hebu Khaira Arby and Her Band warudie - Sourgou

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Mija Shija Sayi 10:55 am  

Umesema kweli mzee wa falsafa..

Yasinta Ngonyani 4:51 pm  

Ni kweli kabisa ulichosema!!

Rachel Siwa 6:54 pm  

Umenena kaka Kitururu!

Anonymous 12:35 pm  

Hee, nakumbuka tukiwa njiani kuja kazini kukawa na wimbo wa mtarimbo doro wa lady jaydee, nikasema wimbo una matusi huu, mwalimu Kilala akanambia mi ndo mwenye matusi, kwani mi ndo nimeutafsiri wimbo kimatusi.
Naungana na wewe kukubali ulilosema.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP