Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ni KWELI kuna waonao TUNDU na bado HUNYA na KUKOJOA pembeni ya CHOO!:-(

>> Wednesday, December 29, 2010

Kuna mambo NI KWA MTU MWINGINE TU labda ndio yako wazi,....

...... kuliko idhaniwavyo kuwa NI WAZI  kwa kuwa tundu liwazi  NI LAZIMA liingizwe MTALIMBO wakati kuna  pia WADHANIAO wanajua kwa uhakika KIUHAKIKA  kuwa WAO kama tundu li wazi basi hilo tatuzi  ni moja tu kuwa hilo tundu LIFUNIKWE!:-(

Swali:

  • AU?


Na kama ILIVYOWAZI  KWA WENGINE ajisaidiaye kwenye CHOO CHA KUKAA na chenye MAJI akimaliza KUJISTAREHESHA kwa kwenda HAJA KUBWA inabidi a-FLUSH mharo tepwetepwe  ,...
.... bado kuna waondokao CHOONI na ni WASTAARABU TU kwa mtazamo wa JAMII ambao wakimaliza kunya hung'atuka HUKO maliwatoni bila kuvuta  maji kitu ambacho kuna MTU MWINGINE anadhani si kawaida,....


.... kama ishangawavyo na WENGINE kuwa KUNA waondokao  NYUMBANI KWA MTU WALIKO ALIKWA na mtu bila KUAGA ,...
.... na  kama ishangawapo VILE VILE mpaka kwenye SIASA ilivyo kuwa  KUNA wasiotimiziwa ahadi wawezavyo MARA kwa MARA kurudia KUMPIGIA KURA YULEYULE MBUNGE  kwa ridhaa yao wenyewe  WAMJUAO hana msaada KWAO.:-(

Swali:
  • Kwani BINADAMU hawakushangazi  kwa kupenda kikojoleo wakati hawapendi mkojo?
Ndio,...
.....labda KUNA wote WAONAO tundu,....
...ingawa tumizi la tundu HUTOFAUTIANA kutokana na TAFSIRI tu za watu,....
...ndio maana .kuna BAADHI tu  YA WATU HATA KAMA NI WENGI ,....
....ndio wakubalianao tumizi la TUNDU ni lile la goli kuingizwa TU hata kwa  TIKITAKA wakati TUNAJUA kunawadhaniao kama GOLIKIPA  TU kuwa MATUMIZI MAZURI YA TUNDU LA GOLI  ni yale ya TUNDU LA GOLI kulindwa  KITU  MTALIMBO kisiingie!:-(

Ndio,...
...hili ni WAZO TU hapa MHESHIMIWA!:-(



Hebu tugawiwe MUSTANG SALLY  na Wilson Pickett




Au tu hebu tucheki ALBUM version ya hiihii ndude........

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Mija Shija Sayi 11:10 am  

...Ingawa pia inawezekana kabisa wana sababu zao za kulikwepa tundu..

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP