Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Rais KIKWETE katuliza mpira kifuani, anakata chenga ya kwanza, anakwenda, anakwenda , amebakia GOLI KIPA tu mbele yake, anakwenda, anakwenda,....

>> Friday, December 03, 2010

..... anaachia BONGE la SHUTI na ni GOOOOOOOOOO  Gooooooo goooooooooo!

Ni goli ndugu wasikilizaji! Nigoli -I can't believe it -yani Mpira uko nyavuni NDUGU wasikilizaji!



Naona  REFA anaonyesha mpira uwekwe kati pale NDUGU  WASIKILIZAJI!

Yani siamini MACHO YANGU ndugu wasikilizaji!

Uwanja haujatulia kabisa kwa maana saaaasa ni HAWA BILA na WALE MOJA ,..... hawa bila NA wale moja ndugu wasikilizaji!

Namuona Dr Slaa hoi pembeni ndugu wasikilizaji huku watu wengine wakimshangaa Profesa Lipumba naye akishangilia goli la  Rais KIKWETE!


Na sasa MPIRA umerudishwa kati !
Yani bado hapajatulia kabisaaaa hapa kiwanjani  Ze BONGO !


Mpira katulia nao Mheshimiwa Dokta Mwenyekiti Luteni Kanali Rais Jakaya KIKWETE na hakuna ajuaye atampasi mpira nani  bado ndugu wasikilizaji!

Namuona katika lefti wingi ya kule  Dr Slaa bado akikuna kichwa huku haamini macho yake,...
... na kwa nje  namuona Mheshimiwa Zitto Kabwe akipasha VIUNGO tayari kwa kuingia KIWANJANI!



NIMEACHA Mheshimiwa KISHKAJI unajua nilikuwa nafanya tu mazoezi ya KUTANGAZA MPIRA Mkuu!
Au?

Tubadili basi swala na kusikiliza MAHUBIRI  au tu mizinguo BINADAMU wakianza kutumia akili kujadili mambo ya IMANI ZA WATU  katika kitu-Who is ALLAH?



Tupate ndude zaidi kwa kumsikiliza Myahudi katika-A Jew explains why Allah is the one and only God



Au tu tupapase-WHo is JESUS




BASI BWANA labda TUBADILI KABISA MCHEZO kwa kujifunza tu jambo muhimu ZAIDI kama jinsi gani msichana afanye mazoezi ya tako katika somo-Jessica Biel's Butt Workout

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP