Jinsi ya KUJIANDAA kulalamikiwa kwa kuwa ETI LABDA sio tamu!:-(
>> Monday, November 15, 2010
Ndio,...
.... kuna uwezekano hasa kama kuna AJIANDAAYE,.....
.... katika kusikiliza LAWAMA,....
....labda huyo ANASTAHILI liaina BONGE LA lenye tako kubwa lawama!:-(
Swali:
- Si labda NI KWELI alalamikiwaye labda ni kweli kama tu alalamikiaye MAEMBE kwa kuwa MAEMBE HAYAJAIVA labda ni kweli pia ana kibezi cha kulalamika kwa kuwa ni KWELI PIA angalau huyo ana EMBE hata kama embe lake BICHI?
Naendelea kuwaza....
Hebu tuendelee kunyokolishwa na Chery Lifrane katika nyoko - Se Nwel
Ndio,...
....LABDA tubakie hapahapa HAITI na Yves Thomas Jean Giles katika kipengele - Malgre Tou
Au tu LA DUEÑA DEL SWING wasaidie tutubu kwa - LOS HNOS ROSARIOS
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment