Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati tunaangalia kuwa labda kuna MWANADINI ambaye asingefuata dini vizuri kama angekuwa na uhakika HAKUNA jehanamu!:-(

>> Thursday, November 04, 2010

Kuna wakutendeao mazuri ,...

....ambao wala wasingefanya hivyo kama wasingekuwa wanatishika kuwa MATENDO yao leo,...
...LABDA yanaweza kusababisha wabanwe chupi baadaye.:-(

Swali:
  • SI unajua kuna uwezekano hata matendo mazuri ya MALAYA kwa MHESHIMIWA MTEJA MME au MKE WA MTU  hutokana na kudhania atalipwa kitu  BAADAYE baada ya kumaliza kumgawia mteja ile  ILE KITU , baadaye  ?


Ndio,....
.... na ukiwa na uhakika kuna chakula,....
... yasemekana pia waweza usisikie njaa mapema.:-(


Na ndio,....
.... inasemekana kwa ahadi ya PIPI  TU kwa MTOTO na wala hata sio  chakula,....
..... waweza  kuongeza juhudi za mtoto akataaye kwenda kulala mapema  akakubali kwenda KULALA mapema.:-(



Ni hilo tu na NI WAZO tu HILI MHESHIMIWA , ingawa mtiririko wake  mambo zake VALUVALU.:-(



Hebu tu badili kwa kusikiliza mdinyo wa Me'Shell NdegéOcello uitwao-Devil's HALO


Hebu Me'Shell NdegéOcello adinye tena -Love U down


Au tu Roy AYERS abadili kwa jiwe-Escape

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP