Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Hivi wanawake wanataka nini?

>> Saturday, November 20, 2010

Nilikuwa nasoma JANA na mwanzo wa leo kazi za  Sigmund Freud

...hasa katika SWALA la wanawake.....

Kama humjui huyu NGULI ,...
....kiainaaina chokoza HAPA

Moja ya kilichochokoza  mtekenyo nakunipandisha nyege ya kufuatilia SWALA hili  ilikuwa sentensi  YAKE hii:


The great question that has never been answered, and which I have not yet been able to answer, despite my thirty years of research into the feminine soul, is 'What does a woman want?'
-From Sigmund Freud: Life and Work by Ernest Jones, 1953

Na nauliza nami kama MWANAUME :
  • Hivi wanawake huwa wanataka nini?
  • Kwani wewe kama MWANAUME hujastukia hawa MALAIKA ni vigumu kweli kuwaelewa?


Kama huna vitabu vyake NGULI Sigmund Freud chokoza hata baadhi ya swala katika HILIHILI lenye KIBIONGO kwenye net  HAPA



Na ndio ,..
...labda sina jibu hata WANAUME wanataka nini,...

....kwa kuwa kuna YAWANAUME pia ambayo siyaelewi ,...

.....ambayo katika KUTEKELEZEWA MAHITAJI imebidi waitwe WASENGE na wengine wajulikane kama  MAPADRE  PEDO kwa kuwa wananyegeleshwa na WATOTO WADOGO  wa  kiume.:-(

Swali zaidi la kizushi:
  • SI unakumbuka kuna bado wadaio MICHAEL JACKSON kiuanaume mahitaji yake YA CHAKULA CHA USIKU  yalikuwa yanatimizwa na watoto wadogo wa kiume?:-(

Ni hilo tu MNYAMPARA! !:-(


AAAHG au kama vipi, ... ngojea  tu MWANAMAMA Janet  Jackson na MWANABABA  Q-Tip katika kulainisha KIUGUMU  ugumu wa hoja wadinye-Got Till It's Gone

7 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 10:21 am  

Wanawake wanataka kupendwa na mwanamume kama mwanamke kusikilizwa, nk. Nikisema kupendwa kama mwanamke nina maana ya kwamba kuna wanaume wengine wanaona kama wakiwa na wanamke basi wakimpa pesa au gari, na mahitaji madogomadogo ya nyumba basi wanafikiri ndo wametekeleza wajibu. Lakini mwnamke anataka WEWE!!! MMMMHHH NAACHA

Simon Kitururu 10:36 am  

@Mtoto mzuri wa kike wa NGONYANI: Hivi unajua wanawake wangapi wenye mtu anayewapenda, na wanasikilizwa,KUCHUNA BUZI RUKSA, chakula cha usiku bwelele lakini hawana furaha na LIMWNAUME LAO na wanafantasaizi Rais KIKWETE Bongo eti hendisamu?:-(


SI tanii!

Kwa uliyosema AMBAYO NAHISI NDIYO MAHITAJI YAKO wewe,...
... ukitekelezewa bado unafikiri hutataka kisiri kubadili LIMWANAMME lako bado?

SI jui kwanini nahisi nashindwa kukitoa stereo nachoongelea ambacho ndicho kisa WANAUME saa nyingine hudai:

Women – You Can’t Live With Them, You Can’t Live Without Them!:-(

Mzee wa Changamoto 2:44 pm  

"Hivi wanawake wanataka nini?"
SWALI ZURI.
Wanataka kile ambacho pengine na wao hawakijui. Wanataka KUWA JUU ilhali juu hakuna mwisho. Mwanamke (kama ilivyo kwa mwanaume) anataka ZAIDI na hana kiwango.
Yaani kumridhisha binadamu ni sawa na kuingia kwenye tairi kisha ukaanza kukimbia "linapobimbilika". Yaani jinsi linavyozidi kukimbia, ndivyo unavyozidi kukimbia na ndivyo unavyozidi KULIKIMBIZA. Kwa "kiHaya cha wazungu wengi" wanasema THE MORE YOU RUN, THE MORE YOU GOTTA RUN.
Kwa hiyo juhudi za kujitahidi kusaka kujua mahitaji ya mwanadamu (awe mwanamke ama mwanamume) ni kuzidi kumfikirisha kuhitaji zaidi.
Ukimpenda atataka UMPENDE ZAIDI
Ukiwa na kipato anataka KIPATO ZAIDI
Ukiwa mjanja wa mauno atataka MAUNO ZAIDI.
Ukimsikiliza atataka KUSIKILIZWA ZAIDI

Yaani mwanadamu unapomtimizia hitaji, ANAHITAJI ZAIDI.

Mwisho wa uhitaji wa binadamu ni HORIZON

Naacha. Labda ninapohitaji kueleza, naelezwa zaidi.
Tuonane NEXT IJAYO

Simon Kitururu 3:15 pm  

@Mubelwa Bandio: Jibu limeenda sana SHULE hilo! Utalogwa shauri zako!:-)

Anonymous 4:21 pm  

Mube unalolosema la maana...binaadamu hatosheki

Hata mwanamme akimpata mwanamke mrembo mwenye sifa nzuri, bado akikutana na mwingine aliye na sifa nzuri zaidi machoni mwake, atadondokwa na mate kwenye mafikira!

Amani!

Masangu Matondo Nzuzullima 3:48 am  

Mzee Mchangamotoshaji keshamaliza. Binadamu!

Swali kwa Mtakatifu: Wewe Mtakatifu unajua hasa unataka nini?

Simon Kitururu 9:57 am  

@Mkuu Matondo:Kwa kifupi nataka kuwa huru kwa kuwa nahisi bado najaribu tu kuwa huru!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP