Ualimu wa MWANAFUNZI!!
>> Monday, November 15, 2010
Kuna uwezekano ,...
.....unaruka KUJIFUNZA kutoka kwa udhaniaye ni ,....
.... MWANAFUNZI!:-(
Swali:
- SI inajulikana kuwa tatizo kubwa katika kuendelea KUJIFUNZA ni kudhania UMEFUDHU?
NI HILO TU MHESHIMIWA!:-(
Hebu Karish atuimbie -MAMA SOFIA
Au tu AY ,MwanaFA, Banana na Ray C watatue nyoko kwa-Safi hiyooo
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Mtakatifu: Leo unatupiga vijembe walimu nini?
Ni kweli. Katika kufundisha kuna kujifunza kwingi pia na kama alivyowahi kusema mwanafalsafa mmoja "tunafundisha kile tunachotaka kujifunza tena na tena mpaka tuhakikishe kwamba tukifundishacho na tujifunzacho ni kitu kile kile!"
Bila kuzingatia busara hii hapa Marekani darasani kwaweza waka moto hasa kama unafundisha (au niseme unafundishwa na) wanafunzi wa shahada ya uzamifu!
@Mwalimu Matondo:Umenena,...
....ingawa sikulenga nyie WALIMU!
Lakini si umestukia kuwa labda NI KWELI kuna afundishaye kupika UGALI afikiriaye anajua yote yahusuyo UJI?
Post a Comment