Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika ULE muda MTU aupacho KIPAUMBELE KITU jinsi kiingiavyo au tu KIINGILIWAVYO TANUZI kichakaraboti!:-(

>> Tuesday, November 02, 2010

Katika  muda HUO mtu aingizwavyo au AINGIZAVYO,...

.... labda kuna KAMUDA kuna kisahauliwacho MUDA HUO hata kama ni kidogo au KWA MUDA MUDOGO kiumuhimu wa afya ya kile   KIINGIZWACHO .:-(


Swali:
  • Si kunauwezekano huna UHAKIKA wakati unataka kula KUKU WA KUCHOMA kwa muda fulani ukasahau umuhimu wa MOTO wakati ukilengacho ni KUKU  WA KUCHOMA ambaye ili ACHOMWE   bado BILA MOTO hutamchoma?



Ndio,...
... katika KIPAUMBELE cha BISHORORO  aendaye  KUNYA,....
... yupo ambaye  ni mpaka akisha kunya ndio hufikiria atachambia nini ili asije nuka MAVI kiustaarabu  mbele za MASISTA DUU baada ya kugawia choo kilo za KINYESI,...


... wakati labda kufikiria utachambia nini kuna umuhimu wake wakati uendacho sio choo cha stendi ambacho MJANJA wa STENDI anaweza kuchambia UKUTA .:-(

NI wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(

 Hebu kwa haraka haraka Jimi Hendrix adinye tena kitu chenye tako kubwa- HEY JOE



Au tu Aerosmith nao warudie tena mdinyo - Janie's Got A Gun


Au tu SANTANA arudishe mshebeduo- SOUL SACRIFICE







AU hebu PIA  tucheki baadhi ya PICHA  zangu na WADAU juzi ya JANA wakati wengi wa WADAU  wakiendelea kusikitika katika kuhisi kuwa  ALIKO aka DJ Altunez ambaye kaamua KUHAMA BARA aendako watu wanaweza wasistukia HIS MIDAS's touch katika kusaidia watu waishi  huku  angalau kuna siku watakenua meno kwa furaha ingawa maishani kibano ni kilekile.:-(!:-(



























5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 7:37 am  

Mhhh, ni kama yule anayeamua kunawa baada ya kula, wakati alipoanza kula hakunawa.
Kuna usemi usemao, `usimpende mwenzako kama kopo la chooni, ukimaliza kuchamba huna kazi nalo...!
Kwahiyo kipaumbele ni wakati una haja, haja ikiisha mwepesi unakumbuka kusindilia makane, bila kujua kuwa choo kimejaa au hakina maji. Na muda huo utalikumbuka `kopo'
Nawaza tu mkuu!

Yasinta Ngonyani 8:58 am  

Kaaaazi kwelikweli:-)

Ney 9:10 am  

Nice pics.

Aliko 10:21 am  

Mtakatifu asante kwa yako machache kuhusu uamuzi wangu mzito nilioufikia, kama "mbeba box"aka" "mzamiaji" baharia"Mkimbizi, mtengeneza karatasi etc in short http://en.wikipedia.org/wiki/Parable_of_the_Prodigal_Son
Napenda vilevile kuwashukuru wengi walioniasaidia mimi katika mishemishe ya mamtoni wadau UK,Sweden,Finland na Germany bila wao hii yote isingewezekana mwisho kabisa bado sijadedi Mtakatifu nitawasubiri mojamoja minazi mirefu mtakapokuja matembezini,likizo ujenzi wa jamii mlizotokea kikazi na project mbalimbali..lastly big up thanks kijiweni kwa mtakatifu ndani ya mawazo we really did have great times from Songea to Helsinki!

Simon Kitururu 3:00 am  

@Emu-Three +Da Yasinta: Pamoja sana!
@Da NEY:
Asante Dada!
@Aliko:Pamoja sana!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP