KUMA weee!:-(
>> Monday, November 15, 2010
Yaitwayo kuwa ni MATUSI mengine jamani,....
....kwa AFIKIRIAYE,...
... labda hayajaenda SHULE kihivyo na YA MKASIRISHAYO,... .... kama kaenda shule na ANAFIKIRIA na kukasirika ,....
....labda,...
..... huyo ndiye TUSI LENYEWE katika jamii ambayo inashindwa kuelewa kuwa KUMA kama jina la KIPENGELE cha sista duu HALIMA binti Kijeba ,...
Swali:
- AU?
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Au tu Lauren Hill na Ziggy Marley wasitukane katika wimbo wa BOB MARLEY - Redemption Song
3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Mwaka huu, nilipokuwa Tanzania, niliwasikia wanawake kwenye baa mbili tatu katika miji tofauti wakiwatukana wanawake wenzao kwa tusi hilo hilo. Jasho lilinitoka.
Kaazi kwelikweli hapo !!!
@Prof .Mbele:Nafikiri watuwengi wakati wakitukana huwa hawafikirii ni nini wanachokisema haswa.
@Da Yasinta: Kazi kwelikweli Indeed!
Post a Comment