Katika KUTAFUTA jinsi ya KABWELA kuitawala TANZANIA!
>> Friday, November 12, 2010
Binadamu ni wavivu kiasilia,....
..... na ukiwapa nafasi kirahisi NA KWA UVIVU WAKUBUNI KIPYA UPYA wanaweza kuamini yaaminiwayo kuwa KUIGILIZIA mpaka staili ya KUONGOZA nchi ni jawabu,....
.... kisa ni kwa kuwa STAILI YA UONGOZI HUO inafanyakazi MAREKANI aka USA , Japan na MBINGA ,...
....kwa hiyo BASI staili HIYO iigwe tu na itafaa pia DODOMA na TANZANIA kwa ujumla ambako labda kuanzia VIONGOZI WENYEWE mpaka wawapigiao kura,........hata KATIBA na HAKI ZAO bado ki kuelimika ni shule ya vidudu na hapo sigusii hata MENGINE muhimu kama kujua MUELEKEO na KIMIKAKATI liwezekanalo kweli KIVITENDO.:-(
Swali:
- Unabisha?
Nikikatizia denge HOJA,...
.... naweza hata kudai kuwa labda hata DEMOKRASIA,...
.... yaweza kuwa sio kitu sahihi katika kila NCHI,......
.... ukizingatia kuwa naamini inawezekana SI BUSARA kudai unatafuta MAAMUZI ya BUSARA yahitajio UELEWA WA MAMBO,....
.... katika KUNDI LA WATU ambao hawajui kwa undani SWALA LENYEWE ZIMA ,....
....na kwa kuwa KIDEMOKRASIA ni wengi na WENGI WAPE kwa hiyo hata WASIOJUA wasiyoyajua wayapigiayo kelele kwa wingi kwa kuwa wako wengi yachukuliwe kuwa ndio BUSARA na ndilo LAKUFANYA.:-(Swali:
- Unafikiri wingi wa kura za WATOTO wa CHEKECHEA kuhusiana na uchaguzi wa staili bora za WEWE na LIMALAYA lako unadhani zaweza kuwa zina busara nzuri yenye undani wa kitu muhimu katika kufurahiya staili zako za uasharerati ambacho labda ni UKATWAJI wa kiuno?
Ndio,....
.... kuna watakaodai pia labda kama KIPIMO ni maendeleo ya haraka sasa hivi,....
.... labda DEMOKRASIA wala sio kitu KIHITAJIWACHO,.....
.... ikiwa NCHI kama CHINA ijulikanayo kwa DEMOKRASIA YENYE UTAPIAMLO inafanikiwa katika yale nchi zenye DEMOKRASIA NONO kama U.S.A , UK au tu JAPAN zinashindwa sasa hivi.:-(
Swali:
- Kwani wewe unaamini kuwa kuna staili moja tu duniani ya kusaidia FAMILIA ZA WATU kulea mitoto yao ili ikikuwa iwe MIJINGA kama tu UKRISTO uaminishavyo waupao shavu UKRISTO kuwa njia ya kwenda MBINGUNI ni MOJA TU na ni YESU TU na kama unamzimia MOHAMMAD ibn ‘Abdullāh"peace be upon him" au hata tu N'GOMBE kikuabudu wewe unaweza usiende mbinguni kushuhudia kuwa huko kutakuwa na ngono au maswala ni kila siku ni Juisi , MAPARACHICHI na kuimbaimba tu HALELUYA?
- Ni kweli unaamini ni KWELI wamagharibi wasemavyo ni KWELI kikuongoza nchi huo ni ukweli pekee sahihi?
Na jinsi ya kutafuta jinsi KABWELA wawezavyo kurudia kutawala tena TANZANIA,....
...... kuna uwezekano kabisa kiigwacho hakifai ukizingatia TANZANIA wala sio KENYA,....
.... na labda KILIMANJARO kwa wale watani wangu WACHAGA WEZI na siye WAPARE MABAHILI kunahitaji staili tofauti kiuongozi na ile ya DODOMA kwa WAHESHIMIWA WAGOGO au KAGERA kwa wataalamu wa KATERERO kama nia ni UFANISI na ubora wa UONGOZI katika maeneo HUSIKA.:-(
Na JINSI ya kutafuta jinsi KABWELA awezavyo kuwa tena kutawala TANZANIA bila kugeuka na kujisahau aliwahi kuwa KABWELA,....
...... BADO NAENDELEA KUWAZA.........:-(
Hebu tumsikilize tena Jomo KENYATTA...
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment