Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati kuna uwezekano NI KWELI watu hufurahia KULA kuliko KUNYA!:-(

>> Monday, November 08, 2010

[Tahadhari: Wazo limepinda!:-(]


Katika kuhangaika naye,...
...labda kula ni BONGE LA SHUGHULI NGUMU  kuliko kwenda haja namba MBILI aka KUNYA.:-(


Swali:
  • Ushawahi kutafakari HILO?

Na katika MARINGO ya KULA,...
.... watu wanampaka UMMA na KISU wakati WANAJUA tonge huweza kulika kwa kutumia mkono TU,...

....kitu LABDA kifanyacho watu kuchanganya kuwa  KUNYA na KUCHAMBA ni vitu tofauti ,...
.....

....na madoido mengi hayapo katika HAJA KUBWA kwa kuwa  labda ni kwa KUCHAMBA ndiko kusababishako watu kudhania KUNYA kunahitaji ufundi ZAIDI    kwa kuoanisha  madoido zaidi YA KUCHAMBA na KUNYA  hasa hata katika nini kinachambiwa  kwa chaguo kuwa ni TISHU , mchanga, majani , ukuta, JIWE au tu maji ndio katika madoido   MSTAARABU kistaarabu  KIUFUNDI  WAKE ZAIDI WA SHUGHULI  ndio anafanikisha kukabili kitendo cha baada ya KUNYA ambacho hufikiriwa  ni kama KUNYA .:-(

Swali zaidi lenye uhusiano na nilichoandika:
  • Si kuna uwezekano watu HUFURAHIA KULA kuliko KUNYA kitu ambacho KINAELEZEA ZAIDI WANADAMU HASA KATIKA JINSI  watu  wasivyooanisha  wanachoshangilia kuwa labda kinauhusiano  WA MOJA KWA MOJA au NI MATOKEO ya kisichoshangiliwa?



NI wazo tu HILI MTUKUFU!



Hebu mke wa kwanza Ufaransa Carla Bruni arudie-Nobody knows U when Ur DOWN and OUT




Henri Salvador arudie- Jardin d'hiver



Henri salvador aingizie na- Chambre avec vue


Au tu Henri Salvador amalizie na -Jazz Mediterranee

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP