Kwa kawaida NI WATU wauao WATU hata kama katika mauaji ni BUNDUKI na NCHALE wa NMAKONDE ndivyo katika UUAJI vinavyosingiziwa!.:-(
>> Thursday, November 18, 2010
Kuna VITU vingi ambavyo BINADAMU huvisingizia,...
....katika KUKWEPA lawama zisiwe ni za BINADAMU!:-(
Na ni kweli;...
... kuna mpaka LAWAMA binadamu awapazo mpaka INZI,....
.....wakati mpaka uzao wa INZI wenye HARI MPYA na NGUVU MPYA ulosababisha majumbani kwa WAHESHIMIWA ni fulu KUHARISHA,...
Swali:
- Si ni kweli INZI wanaweza kuwa wanasingiziwa tu mengi hata kama NI WATU WENYEWE ndio mchango wa hata kuwepo uzao wa hao INZI ulioneemeka kama tu uzao wa mafisadi unavyoneemeka BONGO?
Ndio,...
... labda hata katika UKIMWI virusi vya hii NDUDE vinasingiziwa tu,...
.....ikiwa labda kuna baadhi ya ukweli AUAYE MTU hata kwa UKIMWI bado ni MTU ati.:-(
Ni ruksa kunibishia kwa kuwa hili ni WAZO TU MHESHIMIWA!:-(
Na moja kwa moja ngojea Tshala Muana atoneshe tena kidonda kwa kitu-DEZO DEZO
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment