Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

VIGEZO vya ni nini NI KWELI!

>> Wednesday, November 17, 2010

Ukifuatilia watu,...
.... utastukia  kila mtu ana KWELI zake,...
.... kitu kifanyacho KWELI zitofautiane kati ya mtu na mtu,...
..... na ukitafuta ukweli mpaka katika kujiuliza ya DINI GANI ni ya kweli,....
.....utakuja kirahisi kukwazika kwakuwa KWELI yako huweza kushutumiwa na watafakaraji kuwa SI YA KWELI.:-(

Swali:

  • Huwa unakumbuka kufikiria hilo?

Ndio,...
.... kama ukweli unahitaji FACTS a.k.a USHAHIDI wa kitu,...
.... labda  uwepo wa MBINGUNI baada ya Mheshimiwa MTU kafariki,...
.... kama tu kwa watoto wabata marehemu kweli yake ni ngumu  kuiita ni  KWELI,....
.... ukizingatia ukweli wake umejengeka katika IMANI tu,...
... na wote tunajua IMANI ni nishai kwa kuwa kwa imani huweza kuaminisha mtu kuwa MBUYU fulani ukiabudiwa unatatua tu MATATIZO kikweli kama NG'OMBE kwenye dini fulani za INDIA au tu VUDU pale HAITI.:-(



Swali:
  • Kwani unafikiri ni KWELI kama kwa imani unaamini ni KWELI ni kweli yasiyo kweli yatageuka UKWELI?


NI wazo tu hili MKUU!

Hebu Oyaba warudie -Holala




Au tu OYABA warudie pia na-Haleluyah

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP