Leo katika UCHOKOZI: Hivi una MARAFIKI wangapi kwenye FACEBOOK ambao kikweli sio MARAFIKI zako?
>> Wednesday, November 24, 2010
Urafiki ni kitu cha ajabu,...
.....hasa kwa kuwa huchukuliwa kwa ulaini kuwa ni KITU cha kawaida,...
...kitu kifanyacho kuwa wengi tu MAADUI zako unaweza kudhania kabisa kuwa ni MARAFIKI zako ,......kwa kigezo hata kidogo tu cha kuwa eti,....
....kila mkikutana huwa MNACHEKEANA!:-(
Swali:
- Kwani unafikiri una MAADUI wangapi MAISHANI uwaitao MARAFIKI kwa kuwa tu kuna kitu HUJASTUKIA?
Ni HILO tu MHESHIMIWA na ni wazo tu!:-(
Hebu tupate hii kitu.....
Au tu OSIBISA waingizie tu tena-The Dawn
Au tu OSIBISA waingizie na - Y-Sharp
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Rafiki yako kumbe ni adui yako. Rejea wimbo wa Mr. Nice
@Mkuu Malkiory: Si utani!:-(
Ila chakutia moyo ni kwamba mpaka kuna BAADHI tudhaniao ni MAADUI lakini kiukweli hao ndio MARAFIKI.
Post a Comment