Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Haleluyah!Heri ya ........na kitu fulani!

>> Monday, December 24, 2007

Nawatakia heri fulani wote mnaosherehekea kitu fulani!


Ngojea niseme....

Ngojea niachie mchanganyiko wa picha zilizotokea siku kadhaa ikiwemo shughuli iliyoendeshwa na Aliko, Edo na Erick katika kufurahia hii kitu .....
Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket


Duh!
Mpate kidogo..Josè Gonzàlez




Tuendelee kidogo..
Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket
Duh!
Sijui kwanini namsikiliza bado Gregory Isaacs..
Hebu sikiliza nachoombea ingekuwa ndio tatizo langu sasa hivi..


Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Basi bwana najua kuwa sijaandika muda mf´refu, lakini nimerudi
.
HERI YA SIKU FULANI MDAU!
TUKO PAMOJA!

NAkuacha na ALI KIBA Akija na CINDERELLA:

8 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

luihamu 8:10 am  

Mzee Simon KATIBU.

luihamu 8:15 am  

Katibu Simon,naelewe mnajitahidi kuweka mambo sawa katika kurasa ya jumuwata lakini Katibu kwa nini tusitumie kurasa ya sasahivi kupandisha habari mpya kutoka kwa wanajumuwata?hatuwezi kukaa tu kimya tukisubiri mambo yawe sawa.Kwasasa Katibu tunaomba kurasa ile ya jumuwata ianze kutumika rasmi,weka habari,picha katika kurasa ile.

Evarist Chahali 6:25 am  

Mpe hi kijana Eric

Anonymous 5:10 am  

Gostei muito desse post e seu blog é muito interessante, vou passar por aqui sempre =) Depois dá uma passada lá no meu site, que é sobre o CresceNet, espero que goste. O endereço dele é http://www.provedorcrescenet.com . Um abraço.

Anonymous 7:44 pm  

KATIBU naomba tusaidiane kidogo.Kwenye links za blog naona huyu mwafrika hapatikani.Naona ungemwondoa pia naomba uniweke kwenye list ndio naanza kutambaa!Pia naona luihamu ana tatizo kidogo ebu msikilize. Standard

Anonymous 10:10 pm  

Pateni ukweli huu vilevile ktk shamrashamra zenu.
Hawa ndio maadui wa uhuru.
Waliyafanya ya kutisha ktk nchi hizi kwa kuwaweka kwenye madeni makuu. Je sisi wabongo watatufanyaje???
http://www.prothink.org/2007/12/jewish-role-in-african-slave-trade_29.html,
http://video.google.com/videoplay?docid=-1583154561904832383,
http://video.google.com/videoplay?docid=-7336845760512239683
Haya shime hebu tueneza ukweli huu.

Anonymous 9:03 pm  

usituache........

Simon Kitururu 9:17 am  

@Wote:Samahani kwa ukimya!Tuko Pamoja!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP