Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

LABDA.....

>> Sunday, November 04, 2012

...kwa asiyepotezaye MUDA sasa hivi,... 
...labda HUYO muda wake WAJA kiwakatiwa BAADAYE  tu!:-( 


 Swali: 

  • Si labda hupotezi MUDA kwa kunisoma KIUJINGA busara zangu ki WAKATI huu TU?:-( 
  •  NA si asiyepoteza MUDA sasa hivi labda WAKATI wake waja  tu akimaliza SWALA ,..... na kula,.... na mambo yake ahisiyo ni MUHIMU ?  Na WAKATI tuna poteza MUDA,...
 .....kuna mengi labda ni LABDA tu kwa kuwa MUDA haupotei,...
...LABDA!!:-(


 Na ni wazo tu hili NGULI!
Na nakutakia siku KIBONGE aisee MHESHIMIWA!


Hebu GARNET SILK aingilie kati.....Ndio,...
...NIPO aisee!:-(


4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 1:52 pm  

nawe pia uwe na siku kibonge..nimeipenda hiyo picha ya kwanza:-)

Anonymous 10:50 am  

hapo naona umeishakamua aiseeee mzungu huyo mzuri jamani haya faidi mwakwetu

Simon Kitururu 3:33 am  

YEAH!

Yasinta Ngonyani 5:35 pm  

si mbaya tukipata WIFI:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP