Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Basi na kama UNACHOFIKIRIA ni haja ndogo , UNACHOSEMA na UNACHOFANYA navyo viwe ni HAJA NDOGO na si kitu kingine kwa AFYA na UFANISI wa NDUDE!

>> Friday, September 02, 2011

Unachofikiria , UNACHOSEMA na unachofanya kama vinauwiano na muelekeo mmoja,...

...... inawezekana wewe mwenyewe umetulia na ufanyacho unakifanya kwa UHAKIKA!

Swali:
  • SI unajua kama WAKATI HUOHUO ufikiriacho ni KULA, usemacho ni kingine na labda  kinahusu usafiri na ufanyacho NI KINGINE KABISA na labda ni kunya,... labda hakuna hata kitu kimoja katika  hivyo vitatu unavifanya kwa uhakika bila MCHECHETO?

Ndio,...
.... na GANDHI aliwahi pia kusema kwa ung'eng'e kuwa hata:

“Happiness is when what you think, what you say, and what you do are in harmony.”


NI WAZO TU HILI MHESHIMIWA!

Hebu tu Monique Seka aingilie kati kwa-Okaman



Monique Seka arudie ndude iliyotuna ile-Missounwa



Au tu Monique Seka amalizie kwa - Yelele




Nipo bado mitaani ,...
.... hukuhuku kwa Wadachi.
























































Read more...

BONGO TAMBARARE: Hebu katika kumbukumbu RAIS MWINYI apigwe tena KIBAO!:-(

>> Thursday, September 01, 2011




MUNGU IBARIKI TANZANIA!

Read more...

Wakati sehemu nyingine kuna njaa, ......HEBU wengine wachezee CHAKULA,!

Hebu tudeku jamaa wakichezea kiungo cha KACHUMBARI!


Read more...

Siasa imegeuka BIASHARA FEKI na malipo yake hayatakawia kugeuka PESA za BANDIA!

Kwa hiyo labda WATANZANIA inabidi kitu fulani KIGEUKE,....
......... la sivyo HATA katika BIASHARA hii  ya siasa WAFIKIRIAO ni WAFAIDIKA,....
.......... siku ya siku wanawezagundua huku wamechelewa kuwa HAKUNA anayeFAIDIKA na BIASHARA hii ya kuuza dhahabu feki kwa malipo ambayo WANANCHI wakistuka yatakuwa ni  ya pesa za BANDIA!:-(



Swali:
  • Kwani nawe ushawahi kustukia kuwa kwa wengine  SIASA ni BIASHARA hata  TANZANIA na  KINACHOUZWA ni FEKI hasa kwa kuwa WANASIASA wauzavyo kwa WANANCHI kwenye HOTUBA zao na WANANCHI wapatacho ni vitu viwili tofauti na BIDHAA wauzayo  kama ingelikuwa ni KOROSHO wananchi wakifungua  kifurushi  walichonunua huwa wanakutana na MCHANGA?
  • Na si WANASIASA wanachosahau ni kuwa na wao wenyewe ni WANANCHI na kwa  wafanyayo kwa furaha za harakaharaka  baada  ya muda fulani  watakujakujikuta na wao WAMEATHIRIKA?
  • Si unajua katika BIASHARA FEKI na malipo FEKI labda hakuna anayefaidika?


Ndio,...
..... WANANCHI wakichoka KUDANGANYWA ,...
..... wanaweza  badili staili ya MALIPO kwa waungwana WATAWALA katika walichozoea kulipwa KIULAINI kwa kuuza BIASHARA FEKI.:-(


NI wazo tu hili WAUNGWANA!
MUNGU IBARIKI TANZANIA!

Hebu Mighty Bomber aanzishe upya kwa - Proverbs




The Mighty Shadow aingilie kati kwa - Stop The Boat




Mighty SHADOW aongezee dozi kwa -Gossiper




Au tu The Mighty SHADOW amwage ndude -Shadow ting




Kabla hajamalizia kwa - Poverty is hell


Read more...

TAARIFA YA MABADILIKO YA JINA NA LINK YA TONE INTERNET RADIO KWENDA TONE ONLINE RADIO



Tone Multimedia Company Limited inapenda kuwapa taarifa wananchi wote popote Duniani kuwa tumefanya mabadiliko ya jina la Radio pia jina la Tovuti ambapo mala ya kwanza ilikuwa inaitwa Tone Internet radio na Jina la Tovuti lilikuwa ni www.toneinternetradio.blogspot.com, Kutokana na Sababu za kimsingi za kuingiliana kwa mtandao na Radio moja iliyopo USA inakwenda kwa jina la Tune Internet Radio ndio sababu iliyo tupelekea kubadilisha  jina na kuzaliwa kwa jina jipya la Tone Online Radio ambapo tovuti yake sasa itakuwa ni www.toneonlineradio.blogspot.com na ikumbukwe pia Tone Online Radio ni Radio inayo tumia internet Pekee hatuna Frequency za aina yoyote. asanteni sana atakae pata link hii ampatie na mwenzake. Kwa pamoja tunaendelea kuleta maendeleo ya mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia.
Natanguliza Shukrani kwa niaba ya Uongozi,
Imetolewa na,
Joseph Mwaisango
Mkurugenzi wa Mawasiliano
Tone Multimedia Company Limited.

KUSIKILIZA TONE ONLINE RADIO BOFYA HAPA:  www.toneonlineradio.blogspot.com tone online radio.jpg

Read more...

IT 4 DEV. -kijiwe kipya cha IT

Inaitwa IT4DEV

Hii ni Blogu mpya kabisa itakayoleta mapinduzi ya kitekinolojia na changamoto kubwa ya maendeleo ya taifa.


Ni wataalamu na wajuzi wa nyanja mbalimbali, sasa ndio wakati sahihi wa kuchangia maendeleo ya jamii yako.
Our Aim is to become the Center of Excellence for all IT matters.

Read more...

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP