Basi na kama UNACHOFIKIRIA ni haja ndogo , UNACHOSEMA na UNACHOFANYA navyo viwe ni HAJA NDOGO na si kitu kingine kwa AFYA na UFANISI wa NDUDE!
>> Friday, September 02, 2011
Unachofikiria , UNACHOSEMA na unachofanya kama vinauwiano na muelekeo mmoja,...
...... inawezekana wewe mwenyewe umetulia na ufanyacho unakifanya kwa UHAKIKA!
Swali:
- SI unajua kama WAKATI HUOHUO ufikiriacho ni KULA, usemacho ni kingine na labda kinahusu usafiri na ufanyacho NI KINGINE KABISA na labda ni kunya,... labda hakuna hata kitu kimoja katika hivyo vitatu unavifanya kwa uhakika bila MCHECHETO?
Ndio,...
.... na GANDHI aliwahi pia kusema kwa ung'eng'e kuwa hata:
“Happiness is when what you think, what you say, and what you do are in harmony.”
NI WAZO TU HILI MHESHIMIWA!
Hebu tu Monique Seka aingilie kati kwa-Okaman
Monique Seka arudie ndude iliyotuna ile-Missounwa
Au tu Monique Seka amalizie kwa - Yelele
Nipo bado mitaani ,...
.... hukuhuku kwa Wadachi.
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment