Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Rais Mahmoud AHMADINEJAD akiongea UMOJA wa MATAIFA ni nani vile HUWA anatoka?

>> Friday, September 23, 2011

Wakati kisiri naanza kuhisi ,....
... LABDA kutoka NJE wakati jamaa laongea labda haitoshi  tena kwa kuwa:
  • SI anasikika bado  hata WAKUBWA wakitoka?
  • Kwani unafikiri watokao  hawamsikilizi baadaye ? 
  • Kwani asemayo yote wayakimbiayo  ni UONGO? 
  • Na si kunauwezekano  kwakuwa WAKIMBIAO wenyewe HAWAAMINIKI  kwa hiyo kutoka kwao labda kunafanya wamkimbiao apate POINTI?
Ndio,...
.... naelewa wamaanishacho kwa KUTOKA kidiplomasia inamaana gani ,...
........LAKINI!

Hebu tudeku,...



Hebu tudeku mtuno mzima,...




MMMHmmmmm!

Na kidumu KISWAHILI katika HOTUBA za VIONGOZI wa TANZANIA ughaibuni!:-(
Na ni  HILO TU MHESHIMIWA!




Sijui kwanini hebu ghafla FELA aingilie kati kwa-Who No Know Go Know


...aendelee kutunisha kwa kumalizia ujumbe  Who No Know Go Know ,....


1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

chib 9:55 pm  

Uzushi tu, tena wanaotoka ndio utakuta wana rewind na kurwe-wind hotuba yake huko mafichoni

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP