Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

BREAKING NUUZ: MOTO WATEKETEZA SOKO DOGO LA FOREST MAGHOLOFANI JIJINI MBEYA USIKU WA KUAMKIA LEO

>> Sunday, September 18, 2011






01.Moto wateketeza soko hilo lililopo Forest ya zamani karibu na Chuo cha Mzumbe na Chuo Kikuu huria Jijini Mbeya





02. Moto ulianza majira ya saa 9:00 kamili usiku na Zimamoto walifika saa 9:10 na kufanikiwa kudhibiti moto huo ambao umeteketeza vibada kadhaa na kusababisha hasara kubwa.




03. Mtandao huu umefanikiwa kukuta baadhi ya masalia ya vibanda yakifuka moshi.





04. Mkuu wa wilaya Bwana Evans Balama asaidia kuzima Moto huo, lakini wadau wanajiuliza kunani katika masoko ya Mbeya na kwanini tahadhari hazichukuliwi

Picha zote na HABARI,...
....kutoka  :  Latest News Tz

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP