Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Jaribu tena ULICHOWAHI KUKOSEA hata kama hicho ni KUKUMBATIA,...

>> Monday, September 19, 2011

... kwa kuwa wote tunauwezo wa kujifunza kutokana na MAKOSA aisee!

Swali:
  • Si umestukia kuwa WENGI huacha kabisa waliyowahi KUJARIBU na KUKOSEA kisa tu ni kwa sababu walivyojaribu mara ya kwanza WALIKOSEA?

Ndio,...
... KUPATIA kitu,...
.... mara kibao hutokana na KUJARIBU MARA KADHAA,....
......na kama unabisha waulize ufikiriao WANAPATIA unachotamani KUJUA au tu hata unachotamani KIDUDE walichonacho hata kama NI kwa kutamani tu !:-(

Ni hilo tu MKUU!



Hebu FRESH Jumbe arudishe tena-AMA ZAKE ama zangu



Dekula Kahanga aingilie kati kwa -Bamakonde



Au tu Sammy Kasule apenyeze  nakumalizia kwa -Wapendeza


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP