Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati tunamendea KINACHOHITAJIKA na kusahau umuhimu wa KILICHOPO!

>> Monday, September 26, 2011

KILICHOPO labda  ndio kitiacho nguvu MTU,...
... hata ya kufikiria  kile kiaminikacho ndio KIHITAJIKACHO!:-(

Swali:
  • SI SHILINGI iliyopo labda inamchango mkubwa kuliko ITARAJIWAYO  ambayo hatunauhakika itakujakuwepo?
  • Si kidude cha ZUBEDA labda kinatosha hata kama aliye na ZUBEDA anaamini  ahitajicho  ni kile cha KHADIJA?
  • Na vidhaniwavyo vingi si nasikia ni VYAKUFIKIRIKA kama kilichopo hata kama ni ugali tu kwa maharage  hicho ndio  bonge la NGUNA  kwa rojo?


Ndio,...
..... kilichopo labda ni MUHIMU ZAIDI ya kile kidhaniwacho ndicho chahitajika,...
....... kwa kuwa  nguvu ya MAHITAJI labda inamisingi yake ambayo ni muhimu zaidi  hata kama ni kwasababu tu inawezesha mtu  mpaka kufikiria MENGINE  kistaili ya MAHITAJI!:-(

Ni wazo tu hili NGULI ,...
.... na wala USIKONDE!:-(

Hebu Kevin Hart ajaribu kubadili kwa kuongelea - Other peoples personal problems



Capleton aingilie kati na kurudisha bolingo katika - That Day Will Come



I-WAYNE ajaribu tena kukiri - Can't satisfy her



I Wayne aongezee dozi kwa kukiri pia - Need Her In My Arms



Halafu sijui kwanini ila hebu FALLY IPUPA aibadili tena  kwa -CADENAS




Halafu LOKUA KANZA afunge tu ukurasa kwa - NAKAZONGA


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP