Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

PIPI tamu , NYAMA tamu,...

>> Monday, September 26, 2011

... na kwa bahati mbaya  na MCHICHA  pia MTAMU!:-(


Swali:
  • Si umestukia labda liutamu LABDA LIKO kwenye  LIULIMI LAKO lisikialo tamu hata kwa kupapasa KITOVU na lisananishalo pengo kwako ni MWANYA?


Na CHAI  ni  chungu, ...
.... PIPI  pia lama MBILIMBI TAMU ni chungu,...
......kwa kuwa nasikia hata SUKARI huingia MDUDU!:-(

Ndio,...
.... ni wazo tu hili MHESHIMIWA na kutolielewa RUKSA!:-(
JUMATATU NJEMA MHESHIMIWA!




Hebu INI KAMOZE aingilie kati nakuanzisha upya kwa-GENERAL


INI KAMOZE aongezee dozi kwa -Trouble You A Trouble Me

Ini Kamoze aweke kidangachee ndude- Them Thing Deh



Ini Kamoze huyuhuyu a - Cool It Off



Au INI KAMOZE amalizie tu tena kwa- Here comes the HOT STEPPER


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

sam mbogo 3:11 pm  

Kwa hakika kitamu,ni sukari/asali.hii nisifa ya kupitiliza. baada ya hapo vingine vyote ni vitamu lakini si ule utamu wa sukari/asali.kaka s.

Yasinta Ngonyani 4:46 pm  

mmmhhh???

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP