Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati tamutamu na CHUNGU za ipatikanavyo na kuondoka MIMBA YA JAMBO -kuna wadaio ziko kwenye VITENDO!!

>> Friday, September 30, 2011

 Kuna waumizwao wengi na MANENO,....
......kisa neno ndio lilizalisha KITENDO  cha hiari!



 Swali:
  • Kwani ni nani KIVITENDO ambaye  HATASHITAKI UMEKARIBIAKUBAKA  au  kwa kuguswa  atanyegeleshwa?




Na kuna wenye mtazamo huo wa kudharau NENO ,...
... kisa wanadai wanajua tamutamu mpaka za MIMBA zina vitendo,...
....ingawa kwa VITENDO  bado kuna MANENO yalionyegelesha  FUNDI akawa FUNDI kivitendo hata kama  wakati huo neno la MWALIMU lilikuwa  SHENZI!:-(


Swali:
  • Si yasemekana kuna wadaio WAVIVU ni wavivu wa VITENDO kama vite hakuna wazembeao kivivu kwa MANENO hata kama neno lenyewe ni la MUNGU liokoalo au tu lile likemealo maovu  ambalo lategemewa kutoka kwa wadaiwao ni watu wazuri  hata kama si wazuri kikutongozwa?


Ndio,...
.... hapo MWANZo kabla ya KITENDO,...
.... labda kulikuwa na NENO,...
... nalo neno hata kipumbavu ,...
.... yawezekana ndio siri ya MIMBA ya KITENDO!:-(




NI wazo tu hili BINGWA!






    Hebu Daniel Beaty amwage NENO katika - Knock Knock



    Shihan arudie NENO katika - Sick and Tired



    Black ICE aongelee NENO katika neno kwenye-Bigger Than Mine



    Mutabaruka akatizie denge kwa - Dis Poem





    Mutabaruka aongezee dozi kwa - Any which way... FREEDOM




    MUTABARUKA arudie - Whey Mi Belang?




    Au tu ngojea azime tu kwa -DISPEL the LIE


    1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

    Yasinta Ngonyani 2:57 am  

    Duh!

    Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


    Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

    Partner

    save mt. Kenya campaign
    In partnership with africapoint.com

    Taswira BANANGENGE

      © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

    Back to TOP