Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MTU AKICHOKA labda ni kama MTOTO ambaye halali na HELA bali NEPI yenye MAVI!

>> Friday, September 23, 2011

Na kama ya MTOTO ndiyo yenye uhai wa UTU,...

...... labda MASAFI ya WAKUBWA katika usafi ambao kabla KUBWA hajasafisha alifikiria,...
......ya WAKUBWA ikibidi yanalalika hata kwenye MAVI!:-(

Swali:
  • SI unakumbuka MENGI ya wakubwa ya KUNUKIA PAFYUMU labda ni yakujitakia kwa kuwa si lazima?

Na ndio,.....
.... MKUBWA akichoka vizuri ,...
....... huchoka MPAKA mawazo  na ukiambatanisha na usingizi taratibu za mwili hupumzika hata kama hatafikia afikiriayo ni ya kitoto ya hata kula kuwa vigumu na kumuwezesha kulala chini ya uvungu wa kitanda hata kiusemi kwamba,...
.......``Mtoto halali na hela bali na nepi yenye mavi!´´

Swali:
  • UNafikiri unanielewa?
  • Na si unakumbuka kutonielewa RUKSA?

Lakini ndio,....
...... ukichunguza ya MTOTO unaweza kustukia ni kwanini MTU AKIZEEKA  sana hurudia yale wafanyayo WATOTO,...
.... kwa kuwa  IKIBIDI  kiutu asili MTOTO  huwa   halali na HELA bali na NEPI yenye MAVI!:-(

Ni hilo tu na NI  WAZO tu MHESHIMIWA!

Hebu Perre Shelton apindishe mchezo kwa kumwaga ushairi ule-Dandelion




Floetry wa-Fantasize



Floetry waongezee dozi kwa kudai - Say Yes



Kabla tu hawahawa Floetry kimmalizio hawajaangusha kidude - Floetic


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP