Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kuna MTU labda ni kweli KIPELE CHAKE kwake ni JIPU.

>> Monday, September 12, 2011



Ndio,...
....na yawezekana PIA hata yaliyo MADOGO ,.....
.........kuna MTU KWAKE hayo kwake yana  MPAKA tako kubwa!:-(

Swali:
  • Unabisha?

Ndio,...
.... na labda PIA ni kweli ,...
.........LABDA jipu ni kipele tu kikubwa AISEE!:-(

Na   HILI,...
.....BADO labda,...
.......  ni wazo tu VILEVILE lenye mpaka BUSARA,...
................hata kama hili  wazo KIMKAO limekaa zaidi KiujingaBUSARA MHESHIMIWA!:-(



Hebu KOFFI OLOMIDE aanzishe upya kwa - Loi


Au hebu Fally Ipupa aendeleze kipengele kwa- Bakandja



Halafu au tu mwalimu wa KOFFI Olomide yule Papa Wemba aje tu tena live kwa ndude- Show Me The Way







HALAFU  tu  labda tena  mwanafunzi wa KOFFI Olomide yule FALLY Ipupa  arudi na J. Martins kikurudia pia  ili ilie  tu tena ile banangenge yenye  jina -Jupka








6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

sam mbogo 1:00 pm  

Ndiyo maana wazee husema usikikune kipele cha weza kukuletea,balaa yakuwa jipu!!. uwendawazimu wakipele nizaidi ya jipu.kaka S.

Simon Kitururu 1:09 pm  

@Kakak S: Umestukia eeeh!

Eee bwana lakini mie naogopa kweli MAJIPU,....
............... ingawa nikikutana na waogopao mpaka VIPELE ndio hustukia labda KIHALI HALISI labda bado sihitaji kuwa muoga sana!

Sinasikia labda ni kweli saa nyingine inahitaji ustukie ya watu ili UJISTUKIE?:-(

Sam mbogo 2:16 pm  

Katika kuogopa hukohuko jipu/majipu hayana adabu la weza kuibuka popote pale kwenye mwli wako,na hapo ndo ina kuwa sooo!! likiibukia makalioni,we acha tu. haya mtakatifu tuko pamja. kaka S.

Yasinta Ngonyani 3:11 pm  

Kaka S. likikupata makalioni basi itakuwa mtindo wa kulala kifudifusi na sijui yale matongo makybwa ya ugali itakuwaje?

sam mbogo 4:59 pm  

Da Yasinta, we acha tu,maanayake,ukifika wa saa wa kwenda kujifungua haja kubwa/matonge makubwa ya ugali,nishughuli.ila maranyingi mtu hasemi kama jipu lime kaa pabaya, paupepo/makalio husema mguu unanisumbua umeweka mtoki!!,kumbe siri yake,kutumbua kwake ,hutafutwa swahiba wa kike ndo anaweza kuku tibia.kaka S.

Yasinta Ngonyani 5:52 pm  

Ha ha haaaaaa watu weweeeee kazi kwelikweli:- nanukuu "hutafutwa swahiba wa kike ndo anaweza kuku tibia" mwishi wa nukuu.. umenichekesha kweli

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP