Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KAPINGAZ Blog SIO MUDA MREFU TUTAKULETEA JEZI ZENYE LOGO YETU KAA MKAO WA KUVAA.

>> Sunday, September 25, 2011


Mfano wa Jezi itakayokuwa na Logo yetu, karibu sana mdau.

Jezi hizi zitakuwa zikigawiwa Bure, haziuzwi. Kama utahitaji usisite kuwasiliana nasi mapema kupitia mawasiliano yetu yaliyopo kwenye Blog. Tunashauri ni vema ukatumia Email ili tuweza kuwa na kumbu kumbu nzuri badala ya simu

HABARI ndio HIYO!

Nimetumiwa na Henry Kapinga,...

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Unknown 10:45 pm  

Kiukweli mimi nangoja ya MAWAZONI NDANI YA NENO LA UJINGA BUSARA.

Simon Kitururu 8:31 am  

@Mkuu Mcharia: DUH! Nahisi neno ujinga ni moja ya likwepwalo sana na sidhani T-Shirt ya MAWAZoni inaweza kuuzika yani!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP