Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

SI kila avaaye chupi kichwani ni KICHAA kwa HATA WALE wafikiriao CHUPI ni mali ya TAKO ,...

>> Thursday, September 29, 2011

.... kama tu ilivyokuwa si kila avaaye joho la KIPADRE  ni PADRE,...
.... kwa kuwa kama ilivyo UKICHAA ni utovu wa akili KIKICHWA kwa wafikiriao KICHAA HATUMII AKILI  ambayo  HATA ILE inamsaidiayo kuweka KIFICHA NYETI KICHWANI ,...
....labda hata UPADRE uko moyoni na sio kwa JOHO LIKO WAPI  kwa  aliyevaa joho hata  KIASKOFU,...
....  wakati huyo BADO,...
......hasa kwa kuwa kuna uwezekano JOHO  lake  ,...
... ni  KWA KUWA ni kirahisisha kutembea bila CHUPI kiheshima kwake!:-(

Swali:
  • Si  unajua  UGALI labda ni jina tu na ndio maana unga wa MIHOGO mpaka mahindi  moja ya tengenezo LAO  tofauti kutokana na MALIGHAFI tofauti vyote huitwa UGALI?
  • Unafikiri  UNGA wa MUHOGO na UNGA wa MAHINDI vyote hutengeneza UGALI au tumekosa MAJINA?

Ndio,...
...... kuna tabia yakutoita SEPETO ni SEPETO katika jamii,...
... nawa kati SEPETO inaitwa SEPETO  kutoangalia undani wake kama idhaniwavyo kichaa ni KICHAA,...
.... kitu  kiwezachofanya UMALAYA  na  roho nzuri KIUGAWAJI kuwa ni kitu kilekile KWA MTU  kisa kwa agawiwaye na malaya mwenye roho mbaya,...
.... bado MALAYA huyo kwa kugawa ana roho nzuri kwa apimaye ROHO NZURI  kwa UGAWAJI wa VIKATALIWAVYO NA WENYENAVYO hata kama  safarihii KIPIMO cha roho nzuri ya yenye kipimo KUGAWIWA  inapimwa kwa  kipimo cha spidi ya kupanuliwa ZAWADI  ile ya LAWALAWA nyama!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(




Hebu JUDY BOUCHER aanzishe kwa -That Night We Met



Judy Boucher aongezee dozi kwa - Can't Be With You Tonight



Halafu siju kwanini ila turudi KENYA ili ghafla Eric Wainaina tena abadili kwa -Dunia Ina Mambo


Halafu hapahapa KENYA yule Chizi na Eric Wainaina wazime manyanga kwa - Wacha Waseme

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

nyahbingi worrior. 11:34 am  

Mkuu Simon,nimeona jinsi gani blogu yako inavozidi kukuwa.

Mkuu Simon,unasemaje kuhusu ile kurasa ya blogu tanzania na jumuwata kwa ujumla?

Mkuu Simon mimi nadhani ile kurasa ya sasa ingekuwa active nadhani tungepata mawazo mapya kuhusu jumuwata na kuweza kutatua pale tulipokwama.

Mkuu simon kwa nia njema nakuomba atleast make that page active,wasiliana na da mija na rama washirikishe.

nasubiri kutoka kwako.

nyahbingi worrior. 12:44 pm  

Habari za siku.
Kama mwanablogu kutoka Tanzania,nakuomba kushiriki kuchangia Mchakato wa KUFUFUA JUMUWATA(Jumuiya ya Wanablogu Tanzania).

Tafadhali naomba ufungue hii kurasa ya
http://blogutanzania.blogspot.com/
kisha upendekeze jinsi ya kufufua JUMUWATA.
Ahsante
Luiham Ringo.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP