Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Jumapili ni ya WAZUNGU wa ULAYA!-Dr. E.E. Cleveland (1921-2009)

>> Sunday, September 18, 2011

Haya BWANA yangu MASIKIO,...
..... msikilize mwenyewe katika kipengele:


How Black People began to Observe Sunday as Sabbath







Kiuchokozi zaidi:
Is Sunday The Lord's Day or The Mark Of The Beast?




Ndio,...
.... maswala ya DINI yanakasheshe zake hasa kwa kuwa misingi yake ni IMANI....
....ila naamini  kuchokozwa kidogo huleta chachandu katiika MTU kufikiria AAMINICHO!:-(
SAMAHANI kwa UCHOKOZI!
Haya,...
... tuendelee na SIKU!
SIKU NJEMA!


By the WAY:
  • Unajua neno ``MZUNGU´´ yadaiwa na BAADHI kuwa ni jina lidhalilishalo WATU weupe KIULAYA?

Kama umesikia hivyo pia NAOMBA nitonye hapa NIWE NA USHAHIDI ZAIDI hasa  kama umeshawahi uso kwa uso kukutana na MTASHA ambaye anatambua neno ``MZUNGU ´´ kama neno HASI!

NB:
Nilivyolitumia kwenye kichwa cha habari ya TARALILA HII sikuwa na maana HASI - kama ikitokea kunaniliyemuumiza kwa matumizi ya neno hilo!

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP