Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama unataka kuanza kujitafutia matatizo LABDA anza kuaminni wengine wako kama WEWE!:-(

>> Sunday, September 18, 2011

Na ni kweli KIMUONEKANO ni rahisi MTU  kujifananisha na wenzie,...
..... lakini  hata tukianzia tu kwa jinsi MTU asikiliziavyo UCHUNGU, utamu , KUCHACHA , au tu kula denda  mpaka DHAMBI,...
......... na hata kama MPAKA KATIKA YOTE  hayo hatujanyambulisha FIKIRA,...
......... inawezekana  moja ya sababu  mwingine anaonja ambacho unafikiri ni MWIKO,...
... ni kwamba LABDA tokea mwanzo unajifananisha na WENGINE wasio WEWE!:-(


Swali:
  • Lakini si inasemekana ni vyema kuungana kwa tufananayo zaidi ya kutengana kwa yatutofautishayo?:-(

Ndio,...
... LAKINI LABDA BADO ni kweli WEWE ni WEWE,...
... na MIMI ni MIMI  hata kama tunafanana,...
...... na na  kama unahisi yule HADINYI kama WEWE labda kumbuka tu YULE  NAYE sio WEWE!:-(

Swali:
  • AU?

Ndio,..
... moja ya tatizo ,...
..... LABDA nikuamini YETU,..
......na KATIKA HILO  kufikiri wengine inabidi hata kama ni ya  DINI  ZAO ,...
....basi  ANGALAU hizo nazo  zifanane na ZETU!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(



Hebu tusikilize ya WAZAZI wangu wanawapenda zaidi kaka na dada zangu lakini sio mimi,......
... katika ndude-My parents like my siblings more than me




Au tu Ambelique aingilie kati na kurudia  pini - New Sheriff In Town




 Red Rat aongezee kwa kuharibu kwa - Tight Up Skirt




Red Rat akoleze zaidi kidude  kwa - Oh No!



Halafu BUJU BANTON aingilie kati na kuja tu tena na RED RAT katika mmalizio kwa-Love dem bad


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP