Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Heshima labda sio kitu cha BURE kwa hata afikiriaye anaipata HESHIMA bure!

>> Thursday, September 15, 2011

Na ukichunguza,...
.... BURE huweza kuwa ni aina tu ya MALIPO,....

........ kwa kuwa walipiao wakati huo hawajastukia KINACHOWAKOSTI kwa  kuwa kiwakosticho hakiko KISHILINGI!

Swali:
  • Hivi unafikiri ni VIONGOZI wetu WANGAPI  hata kama hapa tunaongelea AFRIKA ambao wanaheshimiwa BURE kwa kuwa  tu WAWAWEKAO utawalani hao wananchi hawajastukia GHARAMA ?


Ndio,.....
..... heshima labda ni BURE,....
...... lakini kumbuka labda  kwa heshima ZAKO,......
....... BURE uifikiriayo ndio wingu tu au kiini macho kifichacho GHARAMA zinazo kukosti ,...
........ kitu kifanyacho BURE inaweza kuwa ndio bonge la GHARAMA!



Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!



Hebu tu Sam Mangwana arudie - Bana ba Cameroun




Sam Mangwana arudie pia - Maria Tebbo




Au tu hebu tena Samba Mapangala avunje kwa - Vunja Mifupa


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP