Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa kuwa katika uelewaji TUNDA, tunda ni zaidi ya UTAMU wa TUNDA!

>> Friday, September 16, 2011

Na kwa kwa kuwa TUNDA ni zaidi ya UTAMU,....
..... kwa afya ya MTU labda lihitajikalo ni tunda CHACHU.


Swali:
  • Si inajulikana kiafya kila wakati labda sio wakati wa embe kwa kuwa labda lihitajikalo saa nyingine ni PARACHICHI?


Ni hilo tu MKUU ,....
.... na ni wazo tu hili MKUU!
Ijumaa na WIKIENDI njema MKUU!





Hebu Tundaman akumbushie - Starehe Gharama




Ali Kiba aingizie ya - Dushelele




AU tu Jhikoman aturudishe Bagamoyo kwa lile pini - Mapenzi


4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

o'Wambura Ng'wanambiti! 2:35 pm  

uchachu katika kunogesha afya ndo wenyewe Mt.

ama wadhani katika kupenda vichachu wakati wa mimba mdada anaandaa mtoto aliyeko tumboni kiafya au ni katika kuuweka mwili uchachuke kwa kuwa kuna akina Mt. Simon wapendao vichachu katika mwiliwe? :-)

Simon Kitururu 4:33 pm  

@Kadinali Chacha: DUH!:-)

sam mbogo 4:51 pm  

Vichachu,ni vitamu kwa wanaadam wengine,kamavile maembe mbichi,mbilimbi,ukwaju,nk lakini tukumbuke wapendao vichachu hivi,huvitafutia vipozo vyake ilikukidhi radha mdomoni,yaezekana,pilipili ikatumika,chumvi kidogo,nk. utamu wa tunda ama uchachu wake,ni ulimiwako. Au vipi,Chacha na Mtakatifu. kaka S

Simon Kitururu 6:26 pm  

@Kaka S: Inaweza kuwa ni kweli kabisaaa usemalo!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP