Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Siri ya aanzaye KUTOMASATOMASA,..

>> Thursday, September 29, 2011

... labda huyo anajua tayari KITU,...
... na katika hicho KITU  anajua kuwa kuna  MBIVU na mbichi kimtekenyo,..
... na  KWA HILO labda wala sio siri HUYO anajua mpaka kuna KUTOMASA katika mbinu ya  kujua ni ipi IMEIVA kwa kuwa hiyo itabonyezeka kititi!:-(


Swali:
  • SI  unajua  AJISIKIAYE ni mwenye tatizo kwa kuwa HANA  sabuni  katika KUFUA huyo anajua tayari  kuna kitu huitwa SABUNI  na HIYO  inawezesha kirahisi kuondoa uchafu kwenye nguo  kama isaidiavyo tu baadhi ya vidume kujichua ili kuondoa maungoni kitu?

Ndio,...
.... labda usilolijua ,...
....HILO sio tatizo lako !:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!


Hebu BUJU BANTON aingilie kati kwa kudai-Make My Day



Au tu huyuhuyu Buju Banton ajaribu kuzima manyanga kwa - Wanna Be Loved




Au turudi tu TANZANIA ili NGWAIR afunge breki na kuamishia wazo kwenye -MIKASI



0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP