Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika UJEMADARI KIMBOO muongozo LABDA ni HISIA,....

>> Monday, September 26, 2011


..... na KATIKA nanihii labda kweli ni UJEMADARI,...
.... kama KUINGIZWA  mtu kichwakichwa  kwenye giza asikokujua ni UJEMADARi  ,...
..... kama tu  katika UJEMADARI wa VITA ambayo nanihii itabidi ingie gizani kichwakichwa,...
.... bado ni UJEMADARI labda kwa kuwa MTU kiaina ni kichwa kwa kuingia  waogopako WENGINE kwa kuwa hakijulikani kilichondani huko kwenye GIZA!:-(


Tahadhari:Inawezekana kile kidude kifananacho JINA ambacho hata mbwa na sungura wanacho -LABDA hakimaanishwi hivyo katika TARALILA HII  iliyopinda kiwazo na KITARALILA HII !:-(





Ndio,...
...JEMADARI ,...
.....hata KIMALAIKA wa KIHISIA   ,....
... tukiacha kugusia asifiwayo YAJULIKANAYO  YALIYOWAZI ,...
...labda  kama hakuna afikiriaye  labda hakutakuwa na JEMADARI asifiwaye kwa YALIYOWAZI njenje  ,...
.........na tutabaki na wenye sifa  zenye UJEMADARI kimboo  wa kuingia kwenye matundu ya giza  bila kutumia macho , pua au hata KUHOJI kiakili JAMBO  kwa kuwa NI HISIA TU  HILO na sio HALIHALISI  kiukweli ndio MUONGOZO kuwa  TAMU !:-(



Swali:
  • Na si SUKARI nasikia ni tamu KIHISIA  hata kama imetiwa SUMU?
  • Si wewe KWA WENGINE  labda ni  jengo tu la mtalimbo KIKIFIKIRIWACHO TU KIHISIA  kisa umevaa MIDABWADA  wakati ukweli ni kuwa wewe ni NGULI  utatuaye kwa UBONGO na sio MTALIMBO ?

Na kwa kuwa kuna wajisifiao MJENGO kihisia,...
....    labda MTU asivimbe KICHWA  kwa kuwa ukweli wawezakuwa   BADO ni kwamba  KIHISIA TU  kuna wasifiwao kama tu WALAANIWAO  kwa ya kweli amabyo MTU akiyafikiria na KUNYAMBULISHA kwa kutumia AKILI  na si HISIA TU kuna  kitu kinaweza kumstua kuwa si kweli  harufu ya WALI ni lazima iwe kuna WALI kwa kuwa INAJULIKANA  kuna mpaka NYOKA wanukiao  KIUBWABWAUBWABWA.:-(



Swali:
  • AU?

NA  ndio ,...
...labda JEMADARI kikuma yupo pia  kwa ya JEMADARI kimboo,..... 
....kwa kuwa pamoja na kwamba mambo mengi sio UDHU na hayahitajiki kwenye JENGO  na  hayana uhusiano na UMALAIKA uingiliwao  mtalimbo ingawa yapo ndani ya JENGO,...

.... kihuswishwi  cha KITU  BORA   labda sio  tu  kiko kwa  NJE  KIONEKANAKO KIRAHISI  kwa kuwa  vingi bora viko NDANI  na  UJEMADARI kikuma ni ile ruksa ya kuruhusu visivyotathiminiwa viingie ndani KUCHOKONOA vyenye MALIGHAFI BORA kitu ambacho kikuma LABDA  ni UJEMADARI!



Swali:

  • Si unajua  kwa ndani  hata ya jipu hakuishi usaha tu peke yake na na labda ni UJEMADARI kuruhusu SINDANO kimtumbuo?
  • Na kwani JENGO kanisani AU msikitini ni lazima WASWAHILINA au WALOKOLE wawe ndani ili  kisala SALA itoke STIRIO?


Ndio MHESHIMIWA ufikiriaye mpaka neno MBOO au KUMA ni tusi,...,...
.... labda MATUSI yako ndani ya  ufikiriavyo KIHISIA TU ZAIDI kuliko halihalisi ya TUSI  au utendavyo kuliko hata jengo ambalo ni NENO,...
... na KIHISIA kama kimaneno  labda  ya hata ´´KHADIDJA HAJAVAA CHUPI ´´haibadili ukweli  kuwa    kivitendo yaweza kuwa ni kweli ``KHADIDJA hajavaa CHUPI´´  na sio HISIA hiyo .:-(



Swali:
  • Si unajua tusi la ukweli  laweza kuwa bado ni HISIA tu ZA MTU?

Ndio,...
....kwa UNDANI,...
...... labda BINADAMU hana undani sana na ndio NDANI kwenye GIZA hata kama sio ndani ya kidude cha MTU  kunawezatisha WATU au ndio  maana kirahisi ana MPAKA dini ambayo anaamini  ni sahihi  kiasi kwamba waaminivyo wengine sio SAHIHI ,..
... wakati anajua misingi ya IMANI ni imani na imani  haina ushahidi  kama tu wengine waaminivyo  KIHISIA  ZISIZO NA USHAHIDI ambazo kiana zajenga UJEMADARI wauaminio ambao kwa lugha ya kipicha unaweza kuuoanisha na vitendo vya sehemu za siri vya ujemadari wa kuingia au kuingiliwa kwa ukakamavu bila woga wala kutumia akili  ingawa zaweza samehewa kwa kuwa SEHEMU ZA SIRI HIZO kimboo au kikuma hazina UBONGO.:-(


NIMEACHA wazo hili nyoko MHESHIMIWA!!:-(










Hebu IPHY OKOLI aabadili kwa kuanzisha mchezo upya  kwa -Ifeome




Lil' Kim ajaribu kugusagusa eneo kwa - No Matter What They Say




Au tu hebu Missy Elliott amalizie tu,...
............kwa kusema ukweli kuwa - She's A Bitch



Ndio,...
... bado nipo!:-(













1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 2:19 pm  

duh! kichwa cha habari hicho! Haya nimependa mtindo wako wa kuwa na marafiki safi sana....

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP