Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

DANGANYA watoto kama wewe ni BONGE la MZAZI kiuleaji toto hata ambalo litakuja kuwa KUBWA kititi!

>> Friday, September 30, 2011

Haitabishwa  kuwa,...
.... yasemekana kuna  ya UKWELI ,...
.... kwa watoto yasemekana yachubua  zaidi ya MAWAZO,...
.... ya kikubwa MAWAZO yakiwekwa UCHI!:-(

Swali:
  • Si uongo ni kitu kibaya?
  • Lakini si kuwaambia ukweli watoto  MAMA katoa wapi mtoto ni MATUSI?
  • Na si labda ulidanganywa katika MAKUZI yako na ndio maana bado kuna MAUONGO kwako bado ni KWELI?



KUDANGANYA watoto,...
... yasemekana ni moja ya staili YENYE MAFANIKIO SANA ,...
......katika  KULEA WATOTO vizuri!

Tunakumbushana tu KITU hapa MHESHIMIWA,...
... katika WAZO  hata kama hakuna USAHIHI kichokozi!:-(

Hebu ETTA JAMES aanzishe upya kwa-At last



Sijui kwanini ila ngojea arudie,..



BB KING, Billy Ocean, Stevie Ray Vaughan ,... na Etta James waendeleze kwa-Midnight Hour




Halafu BB King, Eric Clapton,Buddy Guy,...
......na Jim Vaughn wamalizie tu kwa-Rock Me Baby

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP