Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika KUTEKENYEKA kwa MTU labda KWAPA halihitajiki kwa ATEKENYEKAYE hata kwa kuguswaguswa nyuma ya GOTI aisee!:-(

>> Monday, September 12, 2011

Na mwenye KWAPA,...
..... labda KWAPA lake hutumika zaidi kwa kutolea JASHO,....
..... kuliko kwa kutengeneza kwenye shati KIKWAPA!:-(


Swali:
  • Si inasemekana aliyekaa MKAO wa KUCHEKELEA KANYAU hata kushikwa paja labda PAJA ni kidongoloso tu kama KWAPA kimtekenyo?

Ndio,...
.... yasemekana  HATA katika MAUMIVU yafanyayo mpaka MTU kulia,...
...... LABDA maumivu ni kitu chochote KILE kilizacho na ndio maana hata PILIPILI na KUCHEKA sana vyote huwezatoa mtu MACHOZI:-(


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!



Hebu Ayo aanzishe shughuli upya kwa - Life Is Real





Ayo aongezee tena dozi kwa- Only you


Nneka aingilie kati kwa - The Uncomfortable Truth



Nneka aongezee dozi kwa -Changes



Au tu Patrice aingilie kati  nakumalizia kwa  - Everyday good


3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

sam mbogo 1:17 pm  

Kutekenyeka, ni moja katika mifumo ya kumfahamu binadamu mwili na sehemu zimfanyazo afurahi/achekelee zikowapi.japo kuwa kutekenywa hukohuko kwa weza kutafsiriwa vingine inapo fikia mambo ya kiutu uzima.maeneo ya kwapa,yamezoeleka, nyuma ya magoti nako pia, nasehemu za mbavu,kwa watoto ni burudani tosha.kila binaadamu anamaeneo yake ambayo akiguswa husisimka/utekenyeka!? je mkubwa ukimtekenya kwapani atacheka au atakasirika iwe katika utani,au hata kwa kumshitukiza,au tukikuwa hatutekenyeki,maana kutekenywa ni furaha sasa sijuwi tukisha kuwa wakubwa badala kuchekelea ukitekenywa unasisimka.sijuwi najaribu kutafuta kuona tofauti ya kumtekenya mtoto, na kumtekenya mtu mzima,umri18 na kuendlea. Kaka S.

Simon Kitururu 1:29 pm  

@Kaka S: Kabla sijasoma komenti hii kuna rafiki yangu kakusoma na anadai kwa wakubwa kitekenyeo huwa kina mchezo wa kusisimua!

sam mbogo 2:22 pm  

Kwa maana hiyo watoto ndo wanaotekenyeka,ikifika kwa mkubwa tunaita kusisimkwa.haya lakini katika ukubwa we tu huu huwa ni nadra sana kuambizana na wenzi wetu wapi ukitekenyeka una sisimka. kwa sababu raha niileile kama watoto wana potekenywa,basi tuwe huru kutekenyeka kikubwa. kaka S.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP