Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Yenye kuhitaji kutumia akili sana eti huwa HAYASIKILIZWI hata na wenye AKILI!

>> Friday, September 16, 2011

Kwa hiyo kama unanogewa na kusikiliza kitu,....
..... jaribu kukichunguza isije ikawa siri ya kukisikiliza ikawa ni kwakuwa tu ni rahisi kiakili,...
.... hasa kwa kuwa inasemekana MASULUHISHO ya MENGI bado yanahitaji yale yakutumia AKILI!

Ni hilo tu MKUU!


Hebu 2FACE aanzishe tena upya kwa-African Queen



Faze arudie-Faze alone




Au tu Faze amalizie kwa - Originality


3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 8:54 am  

Si utani Simon...kwa mfano kupenda ukipenda unapenda....wimbo huo African queen hapo queen kampata mfalme wake na mfalme kampata queen wake ...Ijumaa njema Mtakatifu:-)

sam mbogo 12:20 pm  

Akili. Akili ni nywele kila mtu ana zake.akili ni mfumo.Upeo wa kufikilia,kwa sisi wanaadam,tumetofautiana/umetofautiana,wengi wetu hatujisumbuwi kuumiza kichwa sana, labda kutoka na umuhimu wa kitu chenyewe,kutokuwa na ushabiki nacho,kutokipenda/kuhusudu na wakatimwingine labda nikutokuwa na malengo na hicho kitu ambacho cha weza kuw chochote katika maisha yako kijamii,kama alivyosema hapojuu da Yasinta kutokana na wimbo..kakaS.

Simon Kitururu 4:39 pm  

@Kapulya : Asante na ijumaa njema kwako pia!

@Kaka S: Ila kuna wakati mie huogopa kuwa labda hata sisimizi kuna mambo wanatumia akili kuliko mimi mwenyewe!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP