Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ya DUNIA: TOTO la KIUME likijisikia ni SICHANA na SICHANA likijisikia ni DUME!

>> Tuesday, September 27, 2011

Haya WAZAZI,....
.... deku...


Swali:
  • Si nasikia toto la kiume likilegealegea kike BONGo  dawa iaminikayo ni kulichapa VIBOKO, kufinywa kwa sana na bila kusahau adhabu na kudhalilishwa?:-(

Tuendelee,...

Hongera zenu wote WAZAZI mliofanikiwa kulea WATOTO kisahihi!
Ni  angalizo tu hili MUUNGWANA!

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:44 am  

Hakika hapa duniani kuna mengi kwa kweli sijui ....

Simon Kitururu 3:54 am  

Na hongera YASINTA kwa kulea vizuri Taifa la kesho!

Yasinta Ngonyani 12:12 pm  

Ahsante SIMON kwa wasifa huu mzuri.Nawe najua utakuwa BABA/MLEZI MZURI SANA...

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP