Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Freddy Macha- Paka Mweusi

>> Friday, September 16, 2011

Salam,
URBAN PULSE CREATIVE Inakuletea video fupi ya kibao kinachoitwa ''PAKA MWEUSI'' kutoka kwa Msanii Freddy Macha. 
Kibao hiki kilichotungwa na Freddy Macha wakati akiishi Mwananyamala Kisiwani mwaka 1979. Kilikuwa kati ya nyimbo zilizoimbwa katika bendi ya Sayari iliyowika Bongo na nchi za Scandinavia kati ya 1980 hadi 1984.
Kwa mikoba zaidi na video  za Mtunzi huyu hebu tembelea http://www.freddymacha.com

Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE




3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

sam mbogo 4:54 pm  

Doh, Mkubwa Freddy, na hawa nyau zake kazikwelikweli.kipande kizuri.sasa tukiite zilipendwa au vipi,maana tangu akitunge ni umri wa mtu. kaka S.

Simon Kitururu 5:30 pm  

DUH kweli KAKA S ukifikiria mwaka aliotunga huu wimbo wengine hata kujua PAKA Mweusi anaogopwa kiumri hatukufikia!

Huwa napenda sana mambo za Freddy Macha!

emuthree 6:06 pm  

Kwa hisia kibao hicho kimetulia maana hapa natumia simu ya kiganjani haina uwezo wa kucheza ! Hata hivyo tupo pamoja mkuu

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP