Wakati RAFIKI akufaaye kwenye STAREHE ili ustarehe kwenye STAREHE , kwa wengine ndiye RAFIKI,...
>> Thursday, September 29, 2011
....bado labda KUNA KAUKWELI kuwa urafiki ukirahisishwa,...
....waweza kukuta AJINYEAYE mwenye kuhitaji KUCHAMBWA huyo hana rafiki hata kwenye MARAFIKI!:-(
Swali:
- Si unajua URAFIKI ni noma kwa kuwa rafiki ya mtu LABDA ushahidi NI kitu na kitu chenyewe inaweza kuwa ni kuficha siri ya kikojozi KWA KUWA NI RAFIKI kwa wachukiao vikojozi?
Ndio ,...
... haki ya nani tena kuna wasahauo MARAFIKI kwa kuwa ,...
... kuna wanaowafikiria ni MARAFIKI ambao vikibumbuluka hao ni fulu kukimbia MTU kiadui au tu ki -SIKUJUI WEYE!:-(
Ni wazo tu hili hata kama lina KIBIONGO!:-(
Hebu Harry Kimani aanzishe kwa -Haiya
Harry Kimani aongezee kinu - Man From the Ghetto
AU Bob Marley na GURU wajaribu kubadili mchezo kwa -John was
Au BOB MARLEY azime tu mkuno kwa-Stiff necked fools
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment