Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa kuwa MSAFIRI yasemekana ni KAFIRI!

>> Wednesday, September 21, 2011

Na kama unakumbuka yasemekana  pia  MAISHA  ni safari,....
.... kwa hilo basi LABDA anayeishi yeyote yule labda ni MSAFIRI,...
....... na  katika safari  zake KIMAISHA ukimkagua usishangae ukistukia  pia ya MSAFIRI ,...

.... ambayo kimkao LABDA yamekaa KIKAFIRI!:-(

Swali:
  • Unabisha?
  • Na  si  ya KIKAFIRI  hutambuliwa na BINADAMU  kwa kuwa yana UBINADAMU wenye udhaifu wa KIBINADAMU? 
Ndio,...
.... kwa kuwa katika SAFARI ya MAISHA ya BINADAMU  kuna UBINADAMU,....
.... labda usishangae kuwa labda  katika pilikapilika mpaka zifanyazo wengine kuamua kuwa WASWALIHINA au tu WALOKOLE  ni kwa kuwa walishastukia katika safari zao  kimaisha UKAFIRI!:-(



Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!

Hebu Fela Ransome Kuti aingilie kati tena kwa - Waka Waka



 Fela Kuti aongezee dozi kwa kunyuka - Fear Not For Man



Au tu rudi tu tena UGANDA ili Maurice Kirya aalainishe kwa kudinya tena -If I Ever

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 1:44 pm  

Sisi sote ni wasafiri na safari yetu ni moja ...hapa nahisi kama nimepinda vile ruksa kunisahihisha:-(

Simon Kitururu 8:42 pm  

@Yasinta: Uko mstarini!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP