Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika INJILI si kuna adanganyaye?

>> Friday, September 30, 2011

Kwa jinsi  MAKANISA yazidivyo kuwa MENGI,...
.... hata tukaneje lazima kuna adanganywaye.:-(

Swali:
  • Kwani unafikiri  kila adaiye anahubiri MUNGU ni mkweli?
  • Ushawahi  kudakwa kona na kushushiwa mahubiri matamu na watu ambao unamashaka  wamekaa kitapeli?

Ndio,...
... leo nilidakwa kona na kupewa bonge la MAHUBIRI na wajanja,...
.... na cha ajabu waliyokuwa wanaongea  yalikuwa yanaleta MAANA kitu kifanyacho mtu ujiulize  ni NANI sahihi  kusikiliza kutoka kwake yaliyo SAHIHI!:-(

Swali:
  • Kwani  si muongo huwa hadanganyi kila wakati?
Ndio,...
.... siku hizi,...
... kama zamani tu,...
.....DINI ni BIASHARA!

Bado natafakari  niliyoshushiwa KIMAHUBIRI,...
.... ambayo yanagusa kama tu nisingekuwa fulu MACHALE!:-(



Hebu KIDDUS I ajaribu kupindisha kwa - GRADUATION IN ZION





Au tu J Dilla aendelee kwa-Believe In God



Halafu The Roots wazime kwa - Dear God 2.0


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP