Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Uliza halafu kaa KIMYA usikilize JIBU,...

>> Wednesday, September 28, 2011



... kwa kuwa inasemekana ni wachache sana WAULIZAO,....
....hujifunza kitu wakati wao wenyewe wakati huo WANAONGEA!:-(

Swali:
  • SI inasemekana wakati mtu anaongea ni machache sana WAKATI HUO huwa  anajifunza kutoka kwa wengine?
  • Unafikiri  wakati unaongea yawengine wakuongeleshao unajifunza?
  • Unafikiri wakati unaongea kuna jipya unajifunza?
  • Unafikiri wakati unaongea huwa UNASIKILIZA vizuri?

Ndio,..
... labda kaa kimya,...
..... wakati unaSIKILIZA!

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(

Hebu twende Mauritius ili MICHEL LEGRIS aanzishe kwa-Mo Capitaine



Tubaki hapahapa Mauritius ili Michel Legris aongezee dozi kwa-Dalma Dalma



Hapahapa Mauritius , Monaster waachie-Mo Fam Lo Téléfon



Au mhasisi wa muziki wa sega ya kisasa Mauritius huyu Ti Frere aamalizie tu kwa - Papitou



Halafu tupitie tu REUNION ili Toulou wazime kwa-Doudou cherie


4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 7:40 am  

nanukuu:- "Ndio,..
... labda kaa kimya,...
..... wakati unaSIKILIZA!" mwisho wa nukuu:- ni ushauri wa busara ngoja nikae kimya ila sijui kama nitaweza:-(

Yasinta Ngonyani 6:56 pm  

Duh! huu adhabu kweli kweli!!

Simon Kitururu 3:53 am  

@ Kapulya: Ngojea nikutafute ili nikunong'oneze basi!:-(

Yasinta Ngonyani 12:09 pm  

kunongónezwa:-) haya ahsadi ni deni nasubiri kwa hamu kweli huo mnongónezo:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP