Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Amkabiliye ADUI labda kashastukia ANAWEZA huyo!

>> Friday, September 30, 2011

Na mkabili ADUI kama UNAWEZA,.....
........ na mzidi akili kama yawezekana!

Swali:
  • Na kwa kutumia AKILI si adui yoyote anakabilika?

Nawatakia kila lakheri,...
.... wote wakabilianao na KITU,...
......hasa ukizingatia  labda ni KILA mtu hapa DUNIANI!

NI hilo tu !

Hebu Zahara aanzishe upya kwa - Loliwe



Curtis Mayfield aingilie kati tena kwa - Pusherman



The Notorious B.I.G. arudie matusi katika - One More Chance




Au tu azime tena kwa -Big Poppa


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP