Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

LABDA tatizo ASILOSTUKIA mwenye KITUMBUA aliye na hamu hata kinyege ILE ya MAANDAZI,....

>> Saturday, September 10, 2011

.... ni kwamba inasemekana  KUNAUWEZEKANO PIA KWA HATA mwenye KEKI,...
..... anaweza kuwa  ni kweli bado ni YULEYULE  mpenda VITUMBUA ,...
.... ingawa kihamu hata ya VIAZI VITAMU haki ya nani vile,...
... labda HUYO anataka bado kushikashika chuchu ya ANDAZI!:-(

Swali la kiutu UZIMA:

  • Si UGALI MTAMU yasemekana ni  MTAMU hata kwa wapendao UBWABWA siku nyingine?:-(

Ndio,...
..... yasemekana,...
........hata MKE wa ABDALLAH kifaraja za kugawia MTU uke ,...
...........yuleyule ampendaye mume wake ambaye ni  ABDALLAH labda huwa ni KWELI isemekanavyo kuwa LABDA anatekenyeka pia SIKU NYINGINE nyingi tu  ,...
.... ki-KHAMISI muuza NYANYA kwenye KIBANDA CHA KARIBU NA NYUMBANI kwa MHESHIMIWA ,....
....na  wakati atekenyaye siku hiyo ni KHAMISI na kimtekenyo hafanyi kama KHAMISI amtekenyavyo MKE WA KHAMISI kwa kuwa  ingawa MKE wa KHAMISI hutekenyeka ki -MKE wa ABDALLAH,...
... siku hiyo  maeneo na hata kimshawasha mambo yamekaa ki -MISS BATA ki -hata mtikiso wa  MKIA WA VIMWANA kisichana wasifiwao ni MAMISSSI bata!!:-(

Swali:
  • Si umestukia kunauwezekano sieleweki?
Ndio,...
... yasemekana pia kuwa TATIZO la mpenda KITUMBUA lihofiwalo na MWENYE KITUMBUA,...
.... ni kwamba akionja ANDAZI anaweza kubobea kipenzi kwenye ANDAZI ingawa yasemekana  bado ni kweli UTAMU wa KITUMBUA na ANDAZI ni tofauti  hata kwa mpenda keki,...
.... ndio maana labda ni kweli MPENDA UGALI wa MUHOGO  hata ufanyeje  ki ugali wa   MAHINDI ki-sembe  akipata UGALI wa MUHOGO yasemekana hunogewa zaidi!:-(

Swali:
  • Hivi unafikiri kwa asiyejua KEKI,... kitumbua au ANDAZI vyote sio KEKI kisambusa?
Ndio,..
...labda  tamu  za kipele cha HALIMA,...
....kiutamu  halima huyohuyo kwa mwingine ni mtamu ki -THERESA!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!

Hebu turudi tu tena KONGO ili muanzisho uanzishwe na Modogo katika kipele-Place Vandome



Au tu GHAFLA tena Naughty by NATURE waingilie shughuli kwa kurudisha ya-OPP




Naughty By Nature waongezee kidonge kwenye dozi kwa - Hip Hop Hooray



Au tu wamalizie kwa -Feel me flow



Ili tu tupate sababu ya Snoop DOGGY kurudia-Doggystyle



Ili SNOOP DOGG amalizie tu kusaidia kukuna kidude kwa kuisogeza pembeni kwa-Still Dre



3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

sam mbogo 12:34 pm  

Kitumbua si andazi!! usemi huu unaenda sambamba na hoja yako ya leo. Nikweli kitumbua si andazi na kekei ni keki. Kinacho furahisha hapa ni tofauti ya radha katika vitafunywa hivi. Hulka yetu sisi binaadamu, ni kujaribu radha ya vitu anuwayi/tofauti. Ndiyo maana wengine husema utamaliza bucha zoote nyama ni ileile.kimsingi nyama ni nyama,keki,nikeki,andazi niandazi na kitumbua pia ni kitumbua.nyama kuna ya mifupa,kiuno,steki,nk nakilamoja na sifa yake ama radhayake,vivyohivyo kwa nduguzangu,andazi,keki na kitumbua.mwisho mtengenezaji na mlajiwa vitu hivyo nilivyo taja, ni binaadamu,na kila binadamu huyo hula nyama kutokana na nafasiyake.hula,keki ,andazi, kitumbua kwanafasi pia.Hatasiku moja binaadamu hazuiliki,kula,au kujaribu kitu na kujikuta kanogewa nacho,na hii nikatikamaisha yetu ya kilasiku.nilikwa sili konokono wabaharini wale weusi,sasa nakula nasiyo kama nimeacha kula samaki!1. kaka S

Simon Kitururu 1:46 pm  

@KAKA S: Nahisi ulimaliza tokea mwanzo kwa kuanzisha hoja kwa:

``Kitumbua si andazi!´´:-(

EDNA 2:08 pm  

Kwangu mimi kitumbua ni zaidi ya keki.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP