Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Hata kama ni kijiko kimoja cha KINYESI kwenye BONGE LA CHAKULA kiujazo PIPA kile kipendwacho,......

>> Monday, September 19, 2011

........ bado  hutosha kwa WENGI WALIOKUWAWAMENDEAO HUO MSOSI   kutokwa hamu ya KULA hiyo NGUNA ,...
.......hasa  kama wakistukia HILO la msosi HUO kunajisiwa na kinyesi!

Swali:
  • Si unajua  KUJUA KITU sio mara zote ni kitu KIZURI hata kama KUJUA kwasifiwa kwa faida zake?
  • Na si unakumbuka ukimfuatilia kuku wa kienyeji au tu  NYUKI safari zake  NA KUJUA KILA KITU  labda NYAMA ya KUKU  na ASALI vyote ni vitu vitiavyo kinyaa?

Ndio,...
.... na kwa bahati mbaya hata kama KUJUA  kwenye msosi  uupendao kuna  bonge la kipisi cha MAVI   ambacho wala hakina madhara kwa kuwa kilishakauka muda mrefu baada jamaa kukitengeneza vichakani  kule kilipoungua muda mrefu na jua,...
... bado ujuaji huo kuwa hutadhurika hautoshi  kumfanya asiyelazimika KULA kula tu huo msosi ambao kwa kawaida ANAUPENDA!

Swali:
  • AU?
  • Na siunakumbuka lakini NJAA ikiuma kisawasawa ni vitu vingi watu wavioneavyo kinyaa hugeuka bonge la MSOSI? 
  • Na si nasikia sikuhizi hata katika mapenzi  kuna walambao sehemu za miili ya watu zitokazo kinyesi?
Ndio,....
... KUJUA  kuna mambo yake,...
... kwa kuwa kwa KUJUA kuna waingiao KINYAA kwa kusikia tu kuna KINYESI katika MSOSI  na kususia bonge la NGUNA  na walambao mpaka  matobo ya mwili ya hata ASIYE MPENZI yatokayo KINYESI  kisa kuna kitu wanadai wanajua  hata katika ya kwanini  katika UZINZI kunawatoa JICHO!:-(


    Ni wazo tu hili MKUU!
    Jumatatu NJEMA BOSI!

    Hebu Orchestra Makassy waanzishe upya kwa ya- Mke wangu



    King KIKI arudishe -MASANTULA



    Au tu Mbilia Bel aingilie kati na kumalizia kwa - Nadina


    0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

    Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


    Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

    Partner

    save mt. Kenya campaign
    In partnership with africapoint.com

    Taswira BANANGENGE

      © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

    Back to TOP