Afirika kwote tunapenda twist..tucheze tuteze tuimbe twist ...X2 Nitaanzisha twist maana naona ni zoezi bomba kweli...ila kwa ni wanyama au mtu anaimba? Na kwa nini anasema hata sisi wanyama wa mustuni tunapenda twist?
@Da Yasinta: Huu ni miongoni mwa nyimbo zinikumbushazo utotoni na enzi hizo nakumbuka nilimuuliza Mama kama ni kweli WANYAMA ndio wanaimba!:_) Ni kazi tu za kisanii za enzihizo ziitwazo zilipendwa ambapo Daudi KABAKA kiusanii alipa twist ngoma hii kisauti kitu ambacho kitekinolojia kilionekana ni bonge la ujanja na kwa kuwa sauti ilichokonolewa kusaundi tofauti wimbo ukapewa twist ya kuwa ni wanayma ndio waimbao!
@Mkuu M3: Nahisi karibu mitindo mingi iitwayo ya kiafrika ukiona KINANDA au GITAA tu ambalo yajulikana sio asili yake Afrika, kuna watakao toa ushuhuda muziki utokao sio PURE KIAFRICA. Ila tena yadaiwa MWAFRIKA hata apigeje muziki wa KIZUNGU, uafrika utakuwepo tu ndani ya hilo!
Tukirudi kwenye TWIST kama tu miziki kibao kama ile ipigwayo na JAZZ BENDI zetu BONGO, utakuta kuanzia UKYUBA ndanin yake ingawa ni NDOMBOLO ya SOLO.
4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Afirika kwote tunapenda twist..tucheze tuteze tuimbe twist ...X2
Nitaanzisha twist maana naona ni zoezi bomba kweli...ila kwa ni wanyama au mtu anaimba? Na kwa nini anasema hata sisi wanyama wa mustuni tunapenda twist?
@Da Yasinta: Huu ni miongoni mwa nyimbo zinikumbushazo utotoni na enzi hizo nakumbuka nilimuuliza Mama kama ni kweli WANYAMA ndio wanaimba!:_) Ni kazi tu za kisanii za enzihizo ziitwazo zilipendwa ambapo Daudi KABAKA kiusanii alipa twist ngoma hii kisauti kitu ambacho kitekinolojia kilionekana ni bonge la ujanja na kwa kuwa sauti ilichokonolewa kusaundi tofauti wimbo ukapewa twist ya kuwa ni wanayma ndio waimbao!
Hivi kweli twist ni mtindo wa kiafrika?a?

Post a Comment