Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ukweli kwa jinsi niujuavyo,....

>> Saturday, September 17, 2011

.... wakati nakuambia nifikiriacho ni KWELI,....
..... usishangae siku moja kustukia  kuwa huo haukuwa UKWELI.

Swali:
  • SI unakumbuka kuna kipindi  hata kwa wasomi wa enzi hizo kwao ilikuwa ni KWELI KABISAAAA kuwa DUNIA iko kama MEZA na sio DUARA?

Ndio,....
..... kuna ya kweli na YADHANIWAYO TU KUWA NI YA  KWELI hata kwa wasionuia KUKUDANGANYA!:-(

Ni hilo tu MKUU!

Hebu tumfuate JK akiamrisha - DO THE DAMM DANCE



JK aongezee - COMO LO MUEVES TU




Au tu tubadili kwa kumfuata Aurelio Martinez akirudisha heshima hapa kijiweni baada ya JK huyo hapo juu ambaye ni MSHIKAJI kuhariku - kwa-The Laru Beya Sessions



Au tu Aurelio Martinez amalizie kwa kurudia - Lubara Wanwa


Studio:


Halafu ije tu tena kama isikikavyo mtaani:


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP